SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,753
Chama kinashambuliwa nyie mmetulia tu na posho mnakula.
1. Andaeni matukio ya kuhamisha attention kwa kila tukio la kuchafua Chama. Hususani siku ambayo polepole anafanya mikutano yake uchwara.
2. Tumieni Wasanii kusifia hususani kuandaa matamasha ya bure.
3. Andaeni kampeni kwenye social media kupongeza na kusifia Wagombea wetu Tu.
4. Vyama rafiki (cha ubwabwa na kile cha Kigoma) vipewe attention kubwa zaidi ili kudumisha umoja wa kitaifa.
5. Msibani watu wapewe t-shirt na kofia za Chama pale getini kabla ya kuingia ndani
Lucas Mwashambwa
Pascal Mayalla
@tlaa tlaa