luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,375
- 6,984
Haji akiona hii lzm avyonze mkuu
Kumbe hela ya ada ya mzazi wako ulinitendea haki angalau unajua kujumlishaTunaipongeza Simba yetu kwa udhamini huu mnono, tusisahau kuwakumbushia zile B20 za mwamedi ili tujumlishie na hizi 26 ziwe 46 tuendeshee timu yetu tumpige gepu jirani yetu maana wanatamba sana
HahahahaHaji akiona hii lzm avyonze mkuu
haya aiseeKumbe hela ya ada ya mzazi wako ulinitendea haki angalau unajua kujumlisha
Haji Manara amekuwa kibwengo tuHaji akiona hii lzm avyonze mkuu
Sasa watatangaza vipi ? Washamaliza yaoHuu mkataba unasainiwa mara 2 ndani ya miezi 2? Na Yanga wakisikia hivi wanawaambia Sportpesa watangaze upya wakati kwenye karatasi kuna vitu tofauti?
Hili nadhani kulikuwa na makubaliano ya pande zote kati ya Simba na M-bet kwamba lazima kiwango atakachopata Simba kiwe kikubwa kuliko atakaopata Yanga kwa sport pesa.Huu mkataba unasainiwa mara 2 ndani ya miezi 2? Na Yanga wakisikia hivi wanawaambia Sportpesa watangaze upya wakati kwenye karatasi kuna vitu tofauti?
Itakuwa walikubaliana itangazwe ktk wiki ya Smba day, ili kuongeza shamra shamra za wiki ya watu wa soka na timu ya maana ...sio hawa vibweku wazee wa B12Hili nadhani kulikuwa na makubaliano ya pande zote kati ya Simba na M-bet kwamba lazima kiwango atakachopata Simba kiwe kikubwa kuliko atakaopata Yanga kwa sport pesa. Na ndio maana hawakuweka wazi mkataba ni kiasi gani. Uongozi wa Yanga akili kisoda wameshindwa kuling'amua hili kwa kutokutangaza mkataba wao na Sportpesa mpaka ipite tarehe moja amabao Simba ilishaweka wazi kuwa watabainisha wazi
Kitengo cha intelijensia? Hii football yetu hiii...bado kitengo cha waganga wa kienyeji....nna wasiwasi na waganga now wanapandisha dau
Nenda TRA watakupa mchanganuoMimi napata mashaka na hii mikataba hivi kweli hizi kampuni za kamari zinaiingiza kiasi gani cha pesa? Kama kiwangi hichi wanalipa je wanalipa kiasi kwenye kodi maana hawa ni wazi wanaingiza mabilioni...
Tulia ww utopoloooKitengo cha intelijensia? Hii football yetu hiii...bado kitengo cha waganga wa kienyeji....nna wasiwasi na waganga now wanapandisha dau
Utopolo hamna inteljensia wehu tu wamejaa mleHuu mpira wa kibongo, hasa Simba na Yanga unahitaji Uwe na intelijensia aiswe, hasa kupitia matawi.
Ndo maana msimu uliopita watu walivujisha jezi za Simba..mmeona kilichotokea kwa Yanga msimu huu??😂
Unyama unyama babake🙌