Kitengo cha Guadiance & Canselling Unit

Kitengo cha Guadiance & Canselling Unit

Lady niece

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
953
Reaction score
414
Mwadilla

Nimeona baadhi ya wakuu walivyopendekeza kiwepo kitengo humu ndani kitakachowezesha kusuluhisha, kuonya, na kushauri wale ambao wanapitia katika hali ambazo zinaleta ukinzani, wako ambao wanapitia temptation wako wanaopitia vikwazo mbalimbali vya maisha na hawana wa kuwatolea shida zao au hawana msaada wowote ule wa kuweza kusema yale wahayapitiayo,

Hivyo tungeomba MAMODS mngeweka JUKWAA la kuweza kutatua na kusaidiana na kushauriana pindi pale RAFIKI mwenzetu anapitia hali ngumu, kwani itasaidia sana, mkuu Elli amesema kungekuwepo jukwaa la Guadiance & Canselling Unit hapa hivyo mm nimeonelea niweke uzi huu kuwaomba kama itawezekana basi msisite kuweka jukwaa hilo ambao litawasaidia wengi hususani marafiki wetu ambao wanapitia magumu na hawana ufumbuzi wa yale magumu/matatizo wanayopitia mpaka wengine wanadiriki kutoa uzi za KUJISUICIDE ROHO ZAO Pengine ushauri na maneno tunayotext hapa yatasaidia kwa namna moja kuwa fanya wasijiue hivyo akina Invisible, Paw, @Max Mecence, Cookie tusaidieni kwa jambo hili maana limekuwa likivuma sana hapa jukwaani

Aksanteni

Nawakilisha

cc: Marafiki wote wa MMU na CC
 
Wazo zuri sana, ila haina haja waache waje hapa MMU tupate kuona mengi

Wataalamu wote wanapatikana, itakapohitajika kwa dharula wataitwa wahusika(wataalam)
 
mi naona hata hapa mmu mtu akiwa na tatizo anaweza kusaidiwa ili mradi awe open na asiandike utungaji
 
Ni vzur kiwepo hicho kitengo.....
Uzi utawekwa Hapa tutachangia kama kawaida

Ila kama kutaonekana kunahitajika ushaur zaid wa kumsaidia/ kuonana na mhusika basi hicho kitengo kitahusika..
 
kiwekwe.. ila masihara na story za kutunga kutoka kwa watu wasio serious, viangaliwe sana!
 
Wataalam wapo sana humu tatizo watu wamezidisha masikhara!
 
Watu wakiwa tayari kiwekwe, la sivyo hapa MMU/CC mtu anaweza kutoa duku duku lake na akasaidiwa.

Kitu kingine ni kwamba suala la guidance and counseling ni la mtu anaye hitaji hata kama unamuona anatatizo, asipo kuwa tayari you cant help.

Me i prefer counseling than guidance.
 
Back
Top Bottom