Kitengo cha fedha cha CHADEMA kinaaibisha Taifa

Mimi sio muhasibu na hivyo nitauliza maswali kadhaa tupate ufafanuzi wa kihasibu.waasibu mliomo humu mtusaidie.

Je, ni sahii kwa fedha yoyote ya umma au iliyopitishwa kwenye mfumo wa umma au ukipenda dola kuwekwa kwenye accaunt yoyote isiyoeleweka kwa umma mfano account ya M4C?

Je, utaratibu wa malipo katika taasisi za umma ukoje?

Je, utaratibu wa michango kwenda na kutoka kwenye taasisi za umma ukoje?

Je, sheria za kuhamisha fedha kimataifa zikoje?

Je, kama kuna taratibu za kuhandle fedha za umma na ziko na ukiritimba tufanyeje?

Kuna utaratibu wowote au sheria yoyote inayosimamia uchangiaji wa fedha nyingi au kidogo kwa maslahi ya umma?

Je, Chadema kupitia muhasibu wa chama anahusika vipi kuhandle michango kwa chama au mwanachama?

Je, Muhasibu ana role gani katika kumshauri mwenyekiti wake juu ya kuhandle fedha na michango ya chama au mwanachama?

Maswali mengine yatafuata
Tulia wewe mammalia unajiita daktari kumbe Ngariba eti ulikuwa unataka wale watoto waliopata ajali huko Arusha watibiwe mount meru ili upate ulaji kafie mbali huko wewe mkunga wa jadi
 
CHADEMA ina waziri kivuli wa fedha inasemekana lakini sina uhakika..ni Mbadala wa Prof.Mpango endapo CHADEMA ikiingia madarakani lakini hana,wala hajui udhibiti wa fedha katika chama chao unaendaje wala hata matumizi yake sidhani kama anathubutu kuuliza.

ninachoamini chama kikubwa kama CHADEMA lazima kiwe na mhasibu/kama sio mtunza fedha anayesimamia matumizi na account zote za CHAMA.
ikitokea emergency kama hii yeye ndo awe anatoa ushauri wa kipi kifanyike,account ipi itumike. Hakuna wa kumlaumu ni mistake ndogo kwa chama ambazo bado hazina effect yoyote kwa wananchi wanaowaamini.
KWA HYO MPANGO ANAJUA FEDHA ZA CCM ZINATUMIKAJE?
KILA KIONGOZI ANAMIPAKA YAKE YA UONGOZI
 
Aina ya vijana tulionao katika ushindani ndio hawa badala yakutoa jibu anatoa kashfa

Mungu ibariki Tanzania
 
Wewe ropoka tu,hapa swala la msingi ni kwanini hela ya mgonjwa mahututi haikwenda kwa wakati muwafaka?je lengo lilikuwa ni nini? Je ndege haikukodiwa kwa thamani hiyo? Acha ujinga.Hebu tukumbushane manunuzi ya serikali hivi sasa yanaendeshwaje vileee! Acha kumkosoa mtu ambaye hajabadili matumizi ya pesa.
 
Mimi sio muhasibu na hivyo nitauliza maswali kadhaa tupate ufafanuzi wa kihasibu.waasibu mliomo humu mtusaidie.

Je, ni sahii kwa fedha yoyote ya umma au iliyopitishwa kwenye mfumo wa umma au ukipenda dola kuwekwa kwenye accaunt yoyote isiyoeleweka kwa umma mfano account ya M4C?

Je, utaratibu wa malipo katika taasisi za umma ukoje?

Je, utaratibu wa michango kwenda na kutoka kwenye taasisi za umma ukoje?

Je, sheria za kuhamisha fedha kimataifa zikoje?

Je, kama kuna taratibu za kuhandle fedha za umma na ziko na ukiritimba tufanyeje?

Kuna utaratibu wowote au sheria yoyote inayosimamia uchangiaji wa fedha nyingi au kidogo kwa maslahi ya umma?

Je, Chadema kupitia muhasibu wa chama anahusika vipi kuhandle michango kwa chama au mwanachama?

Je, Muhasibu ana role gani katika kumshauri mwenyekiti wake juu ya kuhandle fedha na michango ya chama au mwanachama?

Maswali mengine yatafuata

M4C ni account ya Chadema kuna ubaya gani??Na hasa ukizingatia ni emergency.Kwa kawaida kwenye emergency tunatafuta account ambayo haina transactions nyingi ili kuondoa sababu za kutumia pesa kwa jambo lingine la ofisi
Kiuhasibu Chadema wako sahihi sababu ni account ya Chama
 
Chadema inaongozwa na Wapiga dili
watu wanapo sema Hakuna upinzani Tanzania kuna wasaka tonge ndio haya!
Chama kinakuwa cha mwanachama na si wanachama!!

Wapiga deal wako CCM ambao mpaka pesa za Rambirambi mnakula.

Haya hata hizi za pole nazo alitaka kuzila shame on you.

Au yawezekana Supika ameepeleka Maombi kwa Mkuu kuulizia atume au apeleke kujenga Chattle International Airport
 
Mimi sio muhasibu na hivyo nitauliza maswali kadhaa tupate ufafanuzi wa kihasibu.waasibu mliomo humu mtusaidie.

Je, ni sahii kwa fedha yoyote ya umma au iliyopitishwa kwenye mfumo wa umma au ukipenda dola kuwekwa kwenye accaunt yoyote isiyoeleweka kwa umma mfano account ya M4C?

Je, utaratibu wa malipo katika taasisi za umma ukoje?

Je, utaratibu wa michango kwenda na kutoka kwenye taasisi za umma ukoje?

Je, sheria za kuhamisha fedha kimataifa zikoje?

Je, kama kuna taratibu za kuhandle fedha za umma na ziko na ukiritimba tufanyeje?

Kuna utaratibu wowote au sheria yoyote inayosimamia uchangiaji wa fedha nyingi au kidogo kwa maslahi ya umma?

Je, Chadema kupitia muhasibu wa chama anahusika vipi kuhandle michango kwa chama au mwanachama?

Je, Muhasibu ana role gani katika kumshauri mwenyekiti wake juu ya kuhandle fedha na michango ya chama au mwanachama?

Maswali mengine yatafuata
Pesa za uma ni zipi nashangaa watu wanakujibu,wakati unauliza swali ambalo hatawewe haulifahamu.
Toka Tundulisu aperekwe hospitali nairobi uma imetoa sh ngapi na lini au pesa walizo katwa Wabunge ndio za uma?
Zile ni pesa binafsi hauwezi kusema eti ni za uma.
Akili ya bashite na ya jesca ni za kufeli tu.
 
Kwa ujinga wako nenda kamuulize mhasibu wa chama cha wauwaji ndo atakuelewesha,
 
Naendelea kuamini msemo wa nyumbu upo sahihi, sikutegemea chama cha wasomi huu ndio utetezi wao, kuhusu risiti ya ndege pesa ya chama jina la mtu ndio liandikwe
 
CHADEMA hawana power mbele ya mwenyekiti. Ndio maana ukiangalia hata risiti ya kukodi ndege imeandikwa BUYER kuwa ni Mbowe badala ya chama... Hapo haikwepeki m/kiti kashapiga mpunga kwenye matatizo ya Lissu.

mwenye ndege yuko sahihi.kwa sababu committment aliitoa Mbowe in person.Mlitaka kumuua Lisu ..mmefeli..sasa mnaweweseka...mashetani nyie
 
Acha wapigwe ifike bil 10 ndo lengo.
Malyenge nafkiri anakumbukia ile bil 12 walilamba na mgonjwa toka kwa mamvi wakabadilisha gia angani.
 
Hapo fedha za umma ni zipi ? Nachojua ni huruma na utu wetu na thamani ya yule tunaye tunaye mchangia, huyu,anauliza maswali gani au anataka fedha ya matibabu idhibitiwe na sheria baadaye iwe kama ile ya maafa ya tetemeko Kagera,
Mkuu wanataka tulipie kodi pesa ya matibabu hivi wahanga wa kagera walilipwa pesa zao?
 
Mimi sio muhasibu na hivyo nitauliza maswali kadhaa tupate ufafanuzi wa kihasibu.waasibu mliomo humu mtusaidie.

Je, ni sahii kwa fedha yoyote ya umma au iliyopitishwa kwenye mfumo wa umma au ukipenda dola kuwekwa kwenye accaunt yoyote isiyoeleweka kwa umma mfano account ya M4C?

Je, utaratibu wa malipo katika taasisi za umma ukoje?

Je, utaratibu wa michango kwenda na kutoka kwenye taasisi za umma ukoje?

Je, sheria za kuhamisha fedha kimataifa zikoje?

Je, kama kuna taratibu za kuhandle fedha za umma na ziko na ukiritimba tufanyeje?

Kuna utaratibu wowote au sheria yoyote inayosimamia uchangiaji wa fedha nyingi au kidogo kwa maslahi ya umma?

Je, Chadema kupitia muhasibu wa chama anahusika vipi kuhandle michango kwa chama au mwanachama?

Je, Muhasibu ana role gani katika kumshauri mwenyekiti wake juu ya kuhandle fedha na michango ya chama au mwanachama?

Maswali mengine yatafuata
Utaambulia matusi na kashfa badala ya majibu mujarab!subiri!
 
Pesa za uma ni zipi nashangaa watu wanakujibu,wakati unauliza swali ambalo hatawewe haulifahamu.
Toka Tundulisu aperekwe hospitali nairobi uma imetoa sh ngapi na lini au pesa walizo katwa Wabunge ndio za uma?
Zile ni pesa binafsi hauwezi kusema eti ni za uma.
Akili ya bashite na ya jesca ni za kufeli tu.
CCM wamejaa wajinga!
 
Back
Top Bottom