Kitengo cha fedha cha CHADEMA kinaaibisha Taifa

Kitengo cha fedha cha CHADEMA kinaaibisha Taifa

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
8,464
Reaction score
4,828
Mimi sio muhasibu na hivyo nitauliza maswali kadhaa tupate ufafanuzi wa kihasibu.waasibu mliomo humu mtusaidie.

Je, ni sahii kwa fedha yoyote ya umma au iliyopitishwa kwenye mfumo wa umma au ukipenda dola kuwekwa kwenye accaunt yoyote isiyoeleweka kwa umma mfano account ya M4C?

Je, utaratibu wa malipo katika taasisi za umma ukoje?

Je, utaratibu wa michango kwenda na kutoka kwenye taasisi za umma ukoje?

Je, sheria za kuhamisha fedha kimataifa zikoje?

Je, kama kuna taratibu za kuhandle fedha za umma na ziko na ukiritimba tufanyeje?

Kuna utaratibu wowote au sheria yoyote inayosimamia uchangiaji wa fedha nyingi au kidogo kwa maslahi ya umma?

Je, Chadema kupitia muhasibu wa chama anahusika vipi kuhandle michango kwa chama au mwanachama?

Je, Muhasibu ana role gani katika kumshauri mwenyekiti wake juu ya kuhandle fedha na michango ya chama au mwanachama?

Maswali mengine yatafuata
 
CHADEMA hawana power mbele ya mwenyekiti. Ndio maana ukiangalia hata risiti ya kukodi ndege imeandikwa BUYER kuwa ni Mbowe badala ya chama... Hapo haikwepeki m/kiti kashapiga mpunga kwenye matatizo ya Lissu.

Mbowe.jpeg
 
CHADEMA hawana power mbele ya mwenyekiti. Ndio maana ukiangalia hata risiti ya kukodi ndege imeandikwa BUYER kuwa ni Mbowe badala ya chama... Hapo haikwepeki m/kiti kashapiga mpunga kwenye matatizo ya Lissu.

Yaani yote hujaelewa chochote ulitafuta pa kuattack tu ndugu ombara? Tuna hasara hadi kizazi chenye ujinga wa aina yako kifutike!
 
Hapo fedha za umma ni zipi ? Nachojua ni huruma na utu wetu na thamani ya yule tunaye tunaye mchangia, huyu,anauliza maswali gani au anataka fedha ya matibabu idhibitiwe na sheria baadaye iwe kama ile ya maafa ya tetemeko Kagera,
Wahasibu watuletee maana ya fedha za umma...nilijua tu kuwa kuna atakayeuliza hili.
To be precise...donation ni sehemu ya fedha za umma
 
Kwanza futa neno fedha za umma, hii ilikuwa michango ya hiyari kutoka kwa wabunge wote. Hivyo si za serikali wala bunge(yaani ofisi ya spika). Hivyo swali lako lingefaa kujibiwa km muhimili bunge au serikali ingelitoa fungu.
 
CCM mmepanic saana mnapoona Lissu bado yuko hai na kinacbowauma zaidi mnavyoona watanzania wanachanga pesa kuokoa uhai wa Lissu.

In short CCM bado mko kwenye mission yenu ya kumuua Lissu.
 
Chadema inaongozwa na Wapiga dili
watu wanapo sema Hakuna upinzani Tanzania kuna wasaka tonge ndio haya!
Chama kinakuwa cha mwanachama na si wanachama!!
CCM mnahaha kama kuku aliyekatwa kichwa kwasababu tu mnaona Lissu anapata matibabu na nyie mnataka afe ili mfanye sherehe.
 
Back
Top Bottom