Kitengo cha EMS posta wanafanya kazi siku ya jumapili?

Jum Records

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2014
Posts
548
Reaction score
559
wakuu heshima kwenu, kitengo cha EMS posta wanafanya kazi siku ya jumapili? maana kuna documents muhimu natakiwa nizitume kesho jumapili ili ziweze kufika kabla ya tarehe 31/07/2018....

Natanguliz shukrani
 
Sina uhakika kama wanafanya ila kama ni document muhimu kiasi hicho, na zinatakiwa ndani ya nchi yetu pendwa, bora ukapige kambi DHL ili Jumatatu mapema mzigo uende kunako takiwa.
 
DHL wako wapi hao
 
DHL wako wapi hao

Inategemea na wewe uko maeneo gani na hizo nyaraka zinaenda wapi.
Kwa Dar, wapo pista pale mkabala na VIVA tower, wapo airport kule cargo, sleep way na maeneo mengine siyakumbuki lakini kama unaweza kuingia JF inamaana una internet, unaweza kupata mawasiliano yao ukawapigia.
 
wakuu heshima kwenu, kitengo cha EMS posta wanafanya kazi siku ya jumapili? maana kuna documents muhimu natakiwa nizitume kesho jumapili ili ziweze kufika kabla ya tarehe 31/07/2018....

Natanguliz shukrani
mkuu unataka utume form za bodi ya mokopo?? kama jibu ni ndiyo basi usijisumbue kwenda dhl official ni Ems
 
wakuu heshima kwenu, kitengo cha EMS posta wanafanya kazi siku ya jumapili? maana kuna documents muhimu natakiwa nizitume kesho jumapili ili ziweze kufika kabla ya tarehe 31/07/2018....

Natanguliz shukrani
hawafanyi kazi. wale ni wajiriwa wa posta/serikali
 
Bodi ya mikopo mwisho lini
walitoa tangazo wakasema mwisho wa kutuma maombi mtandaoni ni tarehe 31 mwezi huu lakini mwisho wa kutuma kwa EMS ni tarehe 16 August
 
Kama ni hivyo ni bora.maana wengi tulidhani tar 31 ni ems pia... Lakini hapa una maana 16 September?
 
Ndugu usijichanganye hii ilikua ni 2018...fuatilia muongozo wa mwaka huu
 
Back
Top Bottom