Kitenge na ushabiki wa yanga

Kitenge na ushabiki wa yanga

kama ningekuwa mtangazaji nisingekuwa nasema YANGA akifungwa natangaza magoli ya kufungwa kwa simba tu. UNAZI MUHIMU NA NAICHUKIA SANA SIMBA NATAMANI INGESHUKA DARAJA HATA LEO NA IPOTEE KABISA.

Ukila lazima uliwe.
 
Ndio maana hata elfu kumi huzipendi!Maskini pole sana!Sijui ungeipendaje Yanga bila kuwepo Simba?Mi siipendi Yanga kweli kweli hata icheze na shetani tamshabikia shetani kuliko shabikia timu ya magazetini,ila rangi zake ziwezi kuzikwepa!
hahahaha bora niwe na elfu tano nyingi tu na si nyekundu
 
Chezea kichapo wewe.Timu mbovu gani wakati zile goli 5-0 hazijarudi bhana??!!

umemsikia Azam leo kaifanya nini timu mbovu au unapiga kelele tuu huku na timu inashuka daraJa
 
Back
Top Bottom