Habari wana JF hasa katika jukwaa hili.
Kweli kama unapenda kitu ni vigumu sana kujizuia. Katika mechi ya Simba na Yanga kiukweli nilipata kusikiliza kupitia radio station anayo tangaza Kitenge. Kama ni unazi na Yanga kweli anao maana goli linapofungwa na Yanga utajua tu jinsi anavyoweka manjonjo yake. Ila nilimuonea huruma pale goli la 3 liliporudi ikabidi aseme tu "Yanga hawaamini ndugu msikilizaji" Bora angesema yanga hatuamini. Halafu goli lilitangazwa kinyonge sana. Then wakati wa kipindi cha michezo akihojiwa na mtangazaji mwenzio kwa kweli aliongea kwa masikitiko sana utadhani yeye ndio kocha wa Yanga.
Jamani Watangazaji Wa Soka Punguzeni Ushabiki Hasa Wakati Wa Kutangaza Mpira Wa SIMBA NA YANGA.
hata Juma Nkamia alikuwa mnazi wa Yanga sana,hata nanihii Ibrahim Masoud wa clouds naye mnazi wa Yanga kweliii,kwamfano Juma Nkamia alikuwa akitangaza mpira wa Yanga na Simba,kila pass ya Yanga ni pasi mkaa yaani alikuwa mnazi wa Yanga kweli,hata ukiwa uwanjani unaangalia mpira unatamani uwashe redio umskilize anavyo ifagilia Yanga etieee....
kama ningekuwa mtangazaji nisingekuwa nasema YANGA akifungwa natangaza magoli ya kufungwa kwa simba tu. UNAZI MUHIMU NA NAICHUKIA SANA SIMBA NATAMANI INGESHUKA DARAJA HATA LEO NA IPOTEE KABISA.
suluhisho la hili ndio maana wenzetu ulaya wanazuia kutangaza mechi ambayo wewe una masilahi nayo, mfano wewe ni shabiki wa man utd hutangazi mechi ya man utd, wewe arseno hutangazi mechi ya aseno, hivyo hivyo<br><br>ilipata kutokea mwaka mmoja tu pale Allan Parry mtangazaji mnazi wa Liverpool alipata tangaza mechi ya Liverpool sijui na nani ila halijarudiwa tena, ni sheria rasmi skysports au ITV UK
kama ningekuwa mtangazaji nisingekuwa nasema YANGA akifungwa natangaza magoli ya kufungwa kwa simba tu. UNAZI MUHIMU NA NAICHUKIA SANA SIMBA NATAMANI INGESHUKA DARAJA HATA LEO NA IPOTEE KABISA.
Kwenye kituo gan cha Mengi na Joyce Mhavile?
ndiyo umechelewa sasa ! Mkuu huenda ukangoja sana simba kushushwa daraja .
kama ningekuwa mtangazaji
nisingekuwa nasema YANGA akifungwa natangaza magoli ya kufungwa kwa
simba tu. UNAZI MUHIMU NA NAICHUKIA SANA SIMBA NATAMANI INGESHUKA DARAJA
HATA LEO NA IPOTEE KABISA.
Yanga 3-0 Rhino, Simba 0-0 Coast.
Kwa kawaida mwanamke akitangulia kufunga goli basi dume humalizia na mchezo huwa mtamu sanachochote kile hata kama ingekuwa TBC na ningesema kabisa SIJAWAHI ONA TIMU MBOVU KAMA SIMBA