Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,810
- 40,562
Hunishindi Mimi boss. Naona Kama ni "uwack" fulani hivi.Hii tabia ya ku post sijui upo wapi naichukia
Usichukie mkuu wewe soma tu nakupita inakuwa ni hulka yake usiumieHii tabia ya ku post sijui upo wapi naichukia
Labda. Pia si alikuwa na supersport?Nadhani Kitenge in Mtangazaji Wa VOA pia..
Mwembe na Dauda ukiona wamesafiri basi ni kwenye matukio ya kimichezo tu huwa naona.ni kama wanaoneshana umwamba na akina Kumwembe na Dauda
[emoji38] [emoji38] [emoji38] Ndugu yangu yani naonaga hizo ni tabia za wakina dada zetu, sisi wanaume hayo mambo ya nini sasa, yani huwa inakera watu wenye hiyo tabia huwa kwenye whatsap ninawa muteHunishindi Mimi boss. Naona Kama ni "uwack" fulani hivi.
usingeanzisha huu uzi, unatudhalilisha sisi watanzania kwa vijitabia vya kipumbavu sana, milofa mingine inatufanya wote tuonekane washambaHello JF,
Baraka za Mungu zitande juu yenu katika kutafuta mkate wa leo.
Sasa wakuu iko hivi, ni karibu mwezi sasa huyu mwanahabari na mdau wa michezo nguli yuko kwa Trump. Hata habari huwa anareport kutokea huko. Ninachojiuliza kwa sasa kuna umuhimu gani yeye kuwa huko. Najua kwa aina ya kazi yake kusafiri ni kawaida hususani kama kuna tukio la kimichezo kwenye nchi husika.
Lakini kwa sasa huko alipo hakuna tukio lolote la kimichezo hata habari anazoreport huwa ni kutokea hapa nchini, anazireport habari za hapa nchini akiwa USA. Sasa Je, kipi kinamfanya azurure huko USA. Je, ni kwa pesa za ofisi au zake? Si matumizi ya pesa yasiyo ya lazima hayo?
Sawa meku ngoja nijifanye sijaonaUsichukie mkuu wewe soma tu nakupita inakuwa ni hulka yake usiumie
Umeelewa hichi ulichoreply?usingeanzisha huu uzi, unatudhalilisha sisi watanzania kwa vijitabia vya kipumbavu sana, milofa mingine inatufanya wote tuonekane washamba