Kitendo Cha Wasanii Kuitikia Wito na Kuwekwa Mahabusu ni Doa

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
Kitendo cha wasanii kuitwa polisi na kuitikia wito."Kutii sheria bila shuruti"Halafu walipofika wakawekwa rumbande.Kitalitia jeshi hilo doa.
Nasema haya nikiamini,Watu wengine watakaposiki kuna wito wa kufika polisi.Watahisi wanaenda kuwekwa rumande.Hivyo kitendo hiki kinaweza kikaibua taabia ya watu kutotii wito wa polisi.Nimewaza tu!
 
47ac5e1a9e7270f92fe797451cbe55ee.jpg
 
Ikithibitika ni wahusika wa madawa ya kulevya, Waswekwe rumande kwa miaka zaidi ya 50 au waondolewe duniani

Iwe ni wanunuaji au wauzaji.
Daaah akili hizi ndio zinazochafua JF...

Toka lini mtu akithibitika kutenda kosa akawekwa rumande? Ni jela. Na ishu ya miaka yakula kifungo sio matakwa ya mtu binafsi ni kutokana na sheria zilizopo.
 
Back
Top Bottom