Kitendo cha kurudia kuhesabu masanduku

Kitendo cha kurudia kuhesabu masanduku

Bintiwangara

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
551
Reaction score
287
Hiki kitu ndicho kilikuwa Goli la mkono la CCM, ukiambiwa kura zirudiwe kuhesabu tu basi imekula kwako, CCM siku zenu zinahesabika.

Hii ilianza kwa Lembeli Kaham, imeenda kwa Kiwia Ilemela, imeenda kwa Wenye Nyamagana, Jimbo la kyela Mwamanyaki alimshinda Mwakyembe waliporudia kuhesabu mwamayaki ikiala kwake, Jimbo la Rungwe Mwambigija naye alishashinda, wakalazimisha kurudia kuhesabu alipokubari , ikala kwake Amoni wa ccm akashinda Daa, walitaka kuitumia kwa Mdee Mdee Kagoma, walitaka kuitumia kwa J.Haule Mikumi , akagoma .

Hii tekiniki ya CCM , ndiyo ilikuwa Goli la mkono.

kafulila Mpaka muda huu ameshinda, lakini analazimishwa akubari Kura kuhesabiwa upya anakataa- Ameshastukia mchezo.
 
ndiomaana tume imekomaa hakuna mtu kutangaza au ku-publish matokeo kabla ya tume because wanajua ukweli utajulikana mapema kabla ya uchakachuzi.
 
Hata waliokubali kuhesabu tena hawakuwa makini
 
Jf habari...!!

Hii SIRI wabunge wengi wa UKAWA hawakushtukia...!!!

UKIRUDIA KUHESABU KURA kupitia mabox, yale mabox unakuta yameshachakachuliwa... sbb yanakuwa chini ya Mkuu wa Mkoa, au Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi wa Halmashauri...!! So, wanachakachua za UBUNGE pale pale, Ukirudia kuhesabu kupitia mabox, UNASHINDWA HARAKA SANA...!!! NDICHO kilichowakuta WENJE na KIWIA...!!! Pia LUCY wa KIGAMBONI...!!!

👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇

So, njia pekee ya KURUDIA KUHESABU KURA NI KUPITIA FOMU ZA MAWAKALA TU...!!! Fomu za NEC, zilizo na matokeo kutoka kila KITUO, zina KURA HALALI NA SAINI ZA MAWAKALA WOTE...!!! So ndio njia pekee na sahihi, KUHESABU KURA KWA MARA YA PILI IKIWA MNATAKA KURUDIA.. NI KUTUMIA FOMU TU...!!! sbb FOMU HAIWEZEKANI KUCHAKACHUA...!!!

👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆

Nimeahangaa sana wabunge wengi hadi Nyerere KUKUBALI KURUDIA KUHESABU kura kupitia MABOX KWA
kwa mara ya pili... yale MABOX yako chini ya CCM baada ya kuhesabiwa... so wanachakachua...ukikubali tu KURUDIA KUHESABU KURA KUPITIA MABOX, UKAWA wanaanguka...!!!

Poleni, Wenje, Kiwia, Nyerere, Lucy wa Kigamboni etc...!!!!

Lazima mtumie fomu zenu za matokeo tu kurudia kuhesabu KURA... si vinginevyo...!!!

Ukawa, ni mpango wa Mungu...!!!
 
Uzushi mwingine haufai. Kiwia hakubalikitena, hata Nyerere pia. Lucy asingefua dafu kwa Dr Ndugulile hiyo iko wazi kabisa. Wenje ilikuwa 50 kwa 50. Acheni kulishana ujinga, tafakarini ni wapi mlipojikwaa mkatubu kwa wananchi.
 
Kuna wakati natamani muda ungerudi nyuma tusahihishe makosa.
 
Na Kata mlizopigwa kwenye hayo maeneo yamechakachuliwa pia?
 
Jf habari...!!

Hii SIRI wabunge wengi wa UKAWA hawakushtukia...!!!

UKIRUDIA KUHESABU KURA kupitia mabox, yale mabox unakuta yameshachakachuliwa... sbb yanakuwa chini ya Mkuu wa Mkoa, au Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi wa Halmashauri...!! So, wanachakachua za UBUNGE pale pale, Ukirudia kuhesabu kupitia mabox, UNASHINDWA HARAKA SANA...!!! NDICHO kilichowakuta WENJE na KIWIA...!!! Pia LUCY wa KIGAMBONI...!!!



So, njia pekee ya KURUDIA KUHESABU KURA NI KUPITIA FOMU ZA MAWAKALA TU...!!! Fomu za NEC, zilizo na matokeo kutoka kila KITUO, zina KURA HALALI NA SAINI ZA MAWAKALA WOTE...!!! So ndio njia pekee na sahihi, KUHESABU KURA KWA MARA YA PILI IKIWA MNATAKA KURUDIA.. NI KUTUMIA FOMU TU...!!! sbb FOMU HAIWEZEKANI KUCHAKACHUA...!!!



Nimeahangaa sana wabunge wengi hadi Nyerere KUKUBALI KURUDIA KUHESABU kura kupitia MABOX KWA
kwa mara ya pili... yale MABOX yako chini ya CCM baada ya kuhesabiwa... so wanachakachua...ukikubali tu KURUDIA KUHESABU KURA KUPITIA MABOX, UKAWA wanaanguka...!!!

Poleni, Wenje, Kiwia, Nyerere, Lucy wa Kigamboni etc...!!!!

Lazima mtumie fomu zenu za matokeo tu kurudia kuhesabu KURA... si vinginevyo...!!!

Ukawa, ni mpango wa Mungu...!!!

Kwanza Tume ilikwishasema uchaguzi huu hakuna biashara ya kuhamisha mabox ya kura bali yatabakia vituoni na kinachofanya movement ni fomu zilizojazwa kituoni na bahasha ya kura chache kama zitakuwepo ambazo zinaonekana kuzidi au kubishaniwa kwa namna moja au nyingine au labda kuna kitu sikuwa nimeelewa vizuri?
 
Sijui Wenje na Lembeli walikubali vipi!
Wenje kaniuma sana.

Bahati mbaya hufuatilii siasa. Unakwenda kwa mhemko tu. Wenje keshachokwa, Lembeli ndio kabisaa. Sasa ulitegemea nini kwa mzee wa nyeti za kuku?
 
Jamani wapendwa,Kama wakala aliondoka na idadi ya vigutu hakuna wizi hapo,wao watajifurahisha tu kama kura zitakuwa nyingi zaidi ya Vigutu.
 
CCM ni wajanja sana. Ni mchezo wanaofanya huo. Mkilala tu imekula kwako.
 
Bahati mbaya hufuatilii siasa. Unakwenda kwa mhemko tu. Wenje keshachokwa, Lembeli ndio kabisaa. Sasa ulitegemea nini kwa mzee wa nyeti za kuku?

Wewe una matatizo. Kama wameshachokwa kwa nini hamkushinda kwenye first round mpaka kusubiri kurudia kuhesabu.
 
Back
Top Bottom