Kitendo cha kurudia kuhesabu masanduku

Kitendo cha kurudia kuhesabu masanduku

Kiwia kura hazikurudiwa yeye alilizwa tu mapema, na wenje ndiye aliyeomba kura zirudiwe kuhesabiwa, fikiria kashindwa kata 14 kaambulia kata 4, kimsingi wenje ndio kamchakachua mabula. Haiwezekani ushinde kata nne tu halafu upate kura nyingi kiasi hicho!!!
demograph ina mambo ya ajabu nchi ya Zanzibar ina wapiga kura karibu laki saba, mkoa mmoja wa nchi ya Tanganyika inawapigakura milioni kadhaa...! Hilo laweza kuamia kwenye kata...!
 
Kwanza Tume ilikwishasema uchaguzi huu hakuna biashara ya kuhamisha mabox ya kura bali yatabakia vituoni na kinachofanya movement ni fomu zilizojazwa kituoni na bahasha ya kura chache kama zitakuwepo ambazo zinaonekana kuzidi au kubishaniwa kwa namna moja au nyingine au labda kuna kitu sikuwa nimeelewa vizuri?

Wewe nawe...kwa hiyo hayo mabox yangebaki shule ya msingi A???
 
Kabla ya kupiga kura kuanza, mawakala hushuhudia vifaa vya kupigia kura na kura zinapopigwa huzinda hadi zinapohesabiwa. Matokeo hujazwa kwenye fomu ambayo hutiwa sahihi na wasimamizi na mawakala. Baada ya hapo masanduku yanawekwa kwenye ulinzi wa nserikali ya chama kilicho madarakani. Sasa unakubali vipi masanduku yafunguliwe upya ambayo hayakuwa chini ya uangalizi wako? Hata Mwenyekiti wa tume alisema kinachosafirishwa ni kwa ajili ya majumuisho ni fomu za matokeo, si masanduku, Msikubali kufunguliwa kwa masanduki. yameshachezewa
 
Hiki kitu ndicho kilikuwa Goli la mkono la CCM, ukiambiwa kura zirudiwe kuhesabu tu basi imekula kwako, CCM siku zenu zinahesabika.

Hii ilianza kwa Lembeli Kaham, imeenda kwa Kiwia Ilemela, imeenda kwa Wenye Nyamagana, Jimbo la kyela Mwamanyaki alimshinda Mwakyembe waliporudia kuhesabu mwamayaki ikiala kwake, Jimbo la Rungwe Mwambigija naye alishashinda, wakalazimisha kurudia kuhesabu alipokubari , ikala kwake Amoni wa ccm akashinda Daa, walitaka kuitumia kwa Mdee Mdee Kagoma, walitaka kuitumia kwa J.Haule Mikumi , akagoma .

Hii tekiniki ya CCM , ndiyo ilikuwa Goli la mkono.

kafulila Mpaka muda huu ameshinda, lakini analazimishwa akubari Kura kuhesabiwa upya anakataa- Ameshastukia mchezo.
mkuu some time tunaposhindwa ni vizuri tukatafakari wapi tumekosea ki mikakati ili next time tushinde.round ya kwanza nyamagana wenje ulishindwa akaomba kura zirudiwe kuhesabiwa.right ungekuwa kama hii round ya kwanza wenje ameshinda seriously ningeamini hoja yako.tujisahihiishe,tujipange for next election.
 
Sasa huyu bwana Chizi tuliyefikiri atatusaidia vitu kama hivi!
Nafikiri ''intellijensia'' ya Dr Slaa ilikosekana kabisa.
 
Wee jiulize kwa nini tume iliwaaminia wale wasimamizi wa vituo kuweza kendesha uchaguzi wa haki lakini wasiiwaamini kuweza kuhesabu na kutangaza matokeo?
 
Mfumo umefanya kazi yake kimachofuata ni MAUMIVU bila kujali uko upande gani
 
Uko sahihi kabisa sema hawa wagombe na vyama vyao huwa hawapeani taarifa!!!! Hata mimi hata kama hawajasema tume sikubali huo ujinga wa miaka ya 47! CCM hutumia pia mauzauza wakati wa kuhesabu upya!!

tumia akili kufikiri, kituo cha kupigia kura kiko kwenye madarasa ya shule, kura zikibaki hapo nani atawajibika kuzitunza na kwa gharama ya nani?

Masanduku yamefungwa kwa nakiri na kila nakiri ina namba (seal number) huyo wakala wako sianakagua?

Kwani mlikatazwa na nyie kuweka nakiri zenu? Kama hamkufanya hivo basi ni ujinga wa mbowe.
 
demograph ina mambo ya ajabu nchi ya Zanzibar ina wapiga kura karibu laki saba, mkoa mmoja wa nchi ya Tanganyika inawapigakura milioni kadhaa...! Hilo laweza kuamia kwenye kata...!

hata mie napata tabu sana, mbunge aliyechaguliwa na wapiga kura elfu tatu anahaki sawa na mbunge aliyechaguliwa na watu laki mbili kweli?

Hii nayo ni kero ya muungano tunayopasa kuishughulikia.
 
maneno ya wafa maji haya......

ndiomaana tume imekomaa hakuna mtu kutangaza au ku-publish matokeo kabla ya tume because wanajua ukweli utajulikana mapema kabla ya uchakachuzi.

Hiki kitu ndicho kilikuwa Goli la mkono la CCM, ukiambiwa kura zirudiwe kuhesabu tu basi imekula kwako, CCM siku zenu zinahesabika.

Hii ilianza kwa Lembeli Kaham, imeenda kwa Kiwia Ilemela, imeenda kwa Wenye Nyamagana, Jimbo la kyela Mwamanyaki alimshinda Mwakyembe waliporudia kuhesabu mwamayaki ikiala kwake, Jimbo la Rungwe Mwambigija naye alishashinda, wakalazimisha kurudia kuhesabu alipokubari , ikala kwake Amoni wa ccm akashinda Daa, walitaka kuitumia kwa Mdee Mdee Kagoma, walitaka kuitumia kwa J.Haule Mikumi , akagoma .

Hii tekiniki ya CCM , ndiyo ilikuwa Goli la mkono.

kafulila Mpaka muda huu ameshinda, lakini analazimishwa akubari Kura kuhesabiwa upya anakataa- Ameshastukia mchezo.

Sijui Wenje na Lembeli walikubali vipi!
Wenje kaniuma sana.
 
Mkuu naomba taarifa za Prof. J huko Mikumi.
 
Ukikubali tu zirudiwe wakati wameshazichambua ni kwamba wanapunguza idadi ya kura zako wana replace na zao ukirudiwa za macho huku unashuhudia
 
Kiwia kura hazikurudiwa yeye alilizwa tu mapema, na wenje ndiye aliyeomba kura zirudiwe kuhesabiwa, fikiria kashindwa kata 14 kaambulia kata 4, kimsingi wenje ndio kamchakachua mabula. Haiwezekani ushinde kata nne tu halafu upate kura nyingi kiasi hicho!!!
Nakubakiana nawe kabisa, lakini sijui kama idadi ya ushindi kwenye kata ni mwelekeo sahihi na pekee kushinda au kushindwa ubunge. Ebu angalia ya kule kwa Mkuchika au kule Mbeya kwenye ubunge na kura za urais!
 
Pusi kabisa hawa,
next time haitajitokeza!.
VIVA UKAWA.
 
Umakini upi wakati masanduku ya kura yanapelekwa na watu wengine na wewe uko gari nyingine!! Kama mimi sikubali! Wanaambiwa CCM leteni karatasi (fomu) zenu toka kwenye vituo vya kupigia kura wanazengua!!

Tumetofautiana nini katika maelezo yangu na unachokieleza?? Au ni ilimradi tubishane hata kama tunaloliongea ni moja. Nina maana haikuwa sahihi kukubali kuhesabu kura wakati maboksi ya kura yalienda na walinzi wa tume ya CCM.
 
Ukikubali kurudia kuhesabu kura zilizolala bila mawakala wako kuwepo elewa umeshapigwa bao la mkono hii ndio mbinu ya CCM nilishangaa sana Wenje na ujanaja wake wote kakubali ujinga huu kweli sikio la kufa halisikii dawa.
 
Back
Top Bottom