Kwanza Tume ilikwishasema uchaguzi huu hakuna biashara ya kuhamisha mabox ya kura bali yatabakia vituoni na kinachofanya movement ni fomu zilizojazwa kituoni na bahasha ya kura chache kama zitakuwepo ambazo zinaonekana kuzidi au kubishaniwa kwa namna moja au nyingine au labda kuna kitu sikuwa nimeelewa vizuri?
Bahati mbaya hufuatilii siasa. Unakwenda kwa mhemko tu. Wenje keshachokwa, Lembeli ndio kabisaa. Sasa ulitegemea nini kwa mzee wa nyeti za kuku?
Hebu tuweke idadi ya kata zilizochukuliwa kwenye hayo majimbo acha blah blah
Jf habari...!!
Hii SIRI wabunge wengi wa UKAWA hawakushtukia...!!!
UKIRUDIA KUHESABU KURA kupitia mabox, yale mabox unakuta yameshachakachuliwa... sbb yanakuwa chini ya Mkuu wa Mkoa, au Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi wa Halmashauri...!! So, wanachakachua za UBUNGE pale pale, Ukirudia kuhesabu kupitia mabox, UNASHINDWA HARAKA SANA...!!! NDICHO kilichowakuta WENJE na KIWIA...!!! Pia LUCY wa KIGAMBONI...!!!
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
So, njia pekee ya KURUDIA KUHESABU KURA NI KUPITIA FOMU ZA MAWAKALA TU...!!! Fomu za NEC, zilizo na matokeo kutoka kila KITUO, zina KURA HALALI NA SAINI ZA MAWAKALA WOTE...!!! So ndio njia pekee na sahihi, KUHESABU KURA KWA MARA YA PILI IKIWA MNATAKA KURUDIA.. NI KUTUMIA FOMU TU...!!! sbb FOMU HAIWEZEKANI KUCHAKACHUA...!!!
👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆
Nimeahangaa sana wabunge wengi hadi Nyerere KUKUBALI KURUDIA KUHESABU kura kupitia MABOX KWA
kwa mara ya pili... yale MABOX yako chini ya CCM baada ya kuhesabiwa... so wanachakachua...ukikubali tu KURUDIA KUHESABU KURA KUPITIA MABOX, UKAWA wanaanguka...!!!
Poleni, Wenje, Kiwia, Nyerere, Lucy wa Kigamboni etc...!!!!
Lazima mtumie fomu zenu za matokeo tu kurudia kuhesabu KURA... si vinginevyo...!!!
Ukawa, ni mpango wa Mungu...!!!
Uzushi mwingine haufai. Kiwia hakubalikitena, hata Nyerere pia. Lucy asingefua dafu kwa Dr Ndugulile hiyo iko wazi kabisa. Wenje ilikuwa 50 kwa 50. Acheni kulishana ujinga, tafakarini ni wapi mlipojikwaa mkatubu kwa wananchi.
nINATOA ANGALIZO KWA UKAWA MSIKUBALI KURUDIA KUHESABU KURA. MASANDUKU YANACHAKACHULIWA MARA BAADA YA MAWAKALA KUONDOKA.
TUMIENI FORMU WALIZOJAZA MAWAKALA KWENYE VITUO
WENJE, NA YULE WA MAFINGA, NA KYELA NA WENGINE. MSIDANGANYIKE. TUMIENI KARATASI ZA MAWAKALA KUPATA MTOKEO HALALI. MSIKUBALI KURUDIWA KUHESABU KURA.
CCM WALIPIGA KURA KABLA NA MAFORM MENGI TU YAMEZAGAA YA KURA ZILIZOPIGWA NJE YA VITUO.
HAYO NDIYO YANAYOINGIZWA KWENYE MASANDUKU NA NINYI MNALAZIMISHWA KUHESABU UPYA. KATAENI NA MKOMAE NAO.
TAFADHALI MSIPUUZE.
Kwanza Tume ilikwishasema uchaguzi huu hakuna biashara ya kuhamisha mabox ya kura bali yatabakia vituoni na kinachofanya movement ni fomu zilizojazwa kituoni na bahasha ya kura chache kama zitakuwepo ambazo zinaonekana kuzidi au kubishaniwa kwa namna moja au nyingine au labda kuna kitu sikuwa nimeelewa vizuri?