Kitendo cha CHADEMA chaweka record nyingine ya JK

chidide

Member
Nov 11, 2010
91
0
JK ameweka record nyingine mpya:
1) Rais wa kwanza kuchaguliwa kwa kura chache kipindi cha pili
2) Rais wa kwanza kukimbiwa na wabunge almost 50 bungeni
 
Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,536
2,000
raisi wa kwanza kutumia familia yake kwenye kampeni
raisi wa kwanza kuanguka anguka mikutanoni
 
Kishongo

JF-Expert Member
May 4, 2010
932
0
JK ameweka record nyingine mpya:
1) Rais wa kwanza kuchaguliwa kwa kura chache kipindi cha pili
2) Rais wa kwanza kukimbiwa na wabunge almost 50 bungeni

Acha kupotosha.

JK anaheshimika kwa Watanzania na hata Kimataifa.

Kitendo cha wabunge wa Chadema ni aibu kwa nchi na demokrasia yetu.

That was a suicidal political move for your info.

Wenye kuijua demokrasia ni kama hawa wanaompongeza (jana Chamwino):

JK na Balozi wa US.JPG
 
david2010

JF-Expert Member
Sep 23, 2010
245
225

Jatropha

JF-Expert Member
Apr 9, 2009
1,151
1,250
acha kupotosha.

Jk anaheshimika kwa watanzania na hata kimataifa.

Kitendo cha wabunge wa chadema ni aibu kwa nchi na demokrasia yetu.

That was a suicidal political move for your info.

Wenye kuijua demokrasia ni kama hawa wanaompongeza (jana chamwino):

View attachment 17307

mara moja akitoka hapo balozi huyo anatuma ujumbe na picha za magazeti kwa obama kumuonyesha matokeo ya kuchakachua kura. Na kwa kuwa jk anawategenea wafadhili kwa kila kitu ni lazima watamwekea shinikizo la kuunda serkali ya umoja wakitaifa kama walivyofanya zanzibar ambapo hadi agosti 2009 jwtz ilikuwa badoo inatumika kunyanyasa wakazi wa pemba lakini wafadhaili walitoa kauli ccm na jk hawakuwa na ubavu wowote (tazama atachment).

jana jk katamba kuwa serikali yake imetunga sheria mpya ya takukuru, kama itakumbuka vizuri ilibidi mpaka wafadhili wazuie kiasi cha bilini 270 katika misaada yaoi katika bajeti ya 2009\10 ndipo sheria hiyo ifikishwe bungeni. Kwa hiyo chadema tunajua swichi ya ccm ipo wapi, ni kwa wafadhili wao, ndio maan jana tukatoka mbele ya wafadhili wao. Kuanzia sasa kila jk akipelekea bakuli ataulizwa vipi mr president umeshaelewana na wapinzani wako? Dogo hilo?
 
grandpa

Senior Member
Aug 24, 2008
185
195
Acha kupotosha.

JK anaheshimika kwa Watanzania na hata Kimataifa.

Kitendo cha wabunge wa Chadema ni aibu kwa nchi na demokrasia yetu.

That was a suicidal political move for your info.

Wenye kuijua demokrasia ni kama hawa wanaompongeza (jana Chamwino):

View attachment 17307

Unajuaje kama wanampongeza kwa kuwapa sherehe nzuri na sio hayo unayoyaandika?
 
Jatropha

JF-Expert Member
Apr 9, 2009
1,151
1,250
:target:
Nndugu zangu watanzania nimekuwa nimefuatilia hii hutuba y dr slaa na zaidi ninamuunga mkono na watanzania lazima tuamke na kutaka maendeleo na kutaka katiba inayotujali watanzania
sikiliza hii hutuba
youtube - dr. Slaa atolea maelezo kutoka nje kwa wabunge wa chadema nov. 18, 2010
dr slaa ni kichwa bwana sio kama ile hotuba ya jana pale bungeni utumbo mtupu. Mtu toka 2005 anadai cag akigundua wizi afikishe kesi polisi, halafu watuhumiwa wakifikishwa polisi na takukuru rais anaamka kuziingilia mahakama kwa kuwasafisha watuhumiwa hadharani.
 
Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,523
2,000
Acha kupotosha.

JK anaheshimika kwa Watanzania na hata Kimataifa.

Kitendo cha wabunge wa Chadema ni aibu kwa nchi na demokrasia yetu.

That was a suicidal political move for your info.

Wenye kuijua demokrasia ni kama hawa wanaompongeza (jana Chamwino):

View attachment 17307

nani amheshimu rais kilaza hajui hata anchoongea..we vipi bana..kam huna la kuongea tulia mbona imewauma sana hii
 
FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
25,622
2,000
Acha kupotosha.

JK anaheshimika kwa Watanzania na hata Kimataifa.

Kitendo cha wabunge wa Chadema ni aibu kwa nchi na demokrasia yetu.

That was a suicidal political move for your info.

Wenye kuijua demokrasia ni kama hawa wanaompongeza (jana Chamwino):

View attachment 17307

Kapoteza mvuto na bila kuchakachua ngoma ilikuwa imelala, nani asiyejua kilichofanyika mzee. CCM inajichimbia kaburi lake mwenyewe na wachimbaji wa hilo kaburi ni JK, Makamba, Chenge na mzee wa fitna na kiongozi wa kuwamaliza wenzake Rostam.

Kitendo walichomfanyia SITTA si cha kiungwana, pesa na madaraka yanabakia hapa hapa duniani.
 
david2010

JF-Expert Member
Sep 23, 2010
245
225
Acha kupotosha.

JK anaheshimika kwa Watanzania na hata Kimataifa.

Kitendo cha wabunge wa Chadema ni aibu kwa nchi na demokrasia yetu.

That was a suicidal political move for your info.

Wenye kuijua demokrasia ni kama hawa wanaompongeza (jana Chamwino):

View attachment 17307
WEWE NAONAHUJUI KAMA UNACOCHANGIA NI UPUUZI BORA UNGEACHA TU KUYACHANGIA AU UNATUMIA INTERNET YA BURE HUKO ULIKO SIKILIZA HII YouTube - Dr. Slaa atolea maelezo kutoka nje kwa Wabunge wa Chadema Nov. 18, 2010
 
Newvision

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
446
0
Nadhani dawa imeanza kuchemka ataipata jana JK alipatwa na mshtuko na hakulala kwani huwa anajifanya ni. Walking out ni Demokrasia pia Kishongo uelewe hivyo wewe nakujua ni ndiyo mze ndiyo mzee hata kama unaibiwa please be objective. Mind you Chadema has an objective cause for this country???
 
Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,536
2,000
Ata hao wanaojua democrasia ie USA kama ulivyoweka picha waliwapongeza watz kwa uchaguzi na sio JK na hakukuwa na peronal compliments to JK kama alivyopewa Shein in the same letter
 
david2010

JF-Expert Member
Sep 23, 2010
245
225
Nadhani dawa imeanza kuchemka ataipata jana JK alipatwa na mshtuko na hakulala kwani huwa anajifanya ni. Walking out ni Demokrasia pia Kishongo uelewe hivyo wewe nakujua ni ndiyo mze ndiyo mzee hata kama unaibiwa please be objective. Mind you Chadema has an objective cause for this country???
TUNAWATAKA WATANZNIA WAAMKE NA KUMWONDOA KIKETE KWA KUMWAMBIA KAMA ULIVOONA KUTUIBIA NI SAWA NA JANA ANATUTUKANAKWA KUSEMA HAO HAWANA PA KWENDA MIMI NDIO RAIS NA CCM NDIO CHAMA HAKUNA CHAMA KAMA SSM NA HAKUNA VYAMA VINGINE HII INATUTISHIA KUWA UMESEMA DINI WAKAT WEWE JK NDIO UMEONYESHA UDINI NA BARUA ZOTE ZA WATU WAKO TUNAZO PIA USHAHIDI WA KUWAPA WATU WAKO NAFASI YA JUU HII NI UDINI TOP
WATANZANIA SKILIZA HII:A S crown-1:
YouTube - Dr. Slaa atolea maelezo kutoka nje kwa Wabunge wa Chadema Nov. 18, 2010
 
Chifunanga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
290
0
Acha kupotosha.

JK anaheshimika kwa Watanzania na hata Kimataifa.

Kitendo cha wabunge wa Chadema ni aibu kwa nchi na demokrasia yetu.

That was a suicidal political move for your info.

Wenye kuijua demokrasia ni kama hawa wanaompongeza (jana Chamwino):

View attachment 17307

alichopotosha ni nini hapo sasa?....yeye kaweka namba 1 na namba 2......kama kuna aliyopotosha i-"mark" na kuelezea.
 
RayB

JF-Expert Member
Nov 27, 2009
2,749
1,250
Acha kupotosha.

JK anaheshimika kwa Watanzania na hata Kimataifa.

Kitendo cha wabunge wa Chadema ni aibu kwa nchi na demokrasia yetu.

That was a suicidal political move for your info.

Wenye kuijua demokrasia ni kama hawa wanaompongeza (jana Chamwino):

View attachment 17307

Kama hujui watanzania ni watu gani na unaposema kimataifa una maanisha nini bora ukae kimta tu ndugu yangu
 
Utingo

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
7,785
2,000
Acha kupotosha.

JK anaheshimika kwa Watanzania na hata Kimataifa.

Kitendo cha wabunge wa Chadema ni aibu kwa nchi na demokrasia yetu.

That was a suicidal political move for your info.

Wenye kuijua demokrasia ni kama hawa wanaompongeza (jana Chamwino):

View attachment 17307

hii ni mojawapo ya crap za kufungia mwaka
 
Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
10,666
2,000
Acha kupotosha.

JK anaheshimika kwa Watanzania na hata Kimataifa.

Kitendo cha wabunge wa Chadema ni aibu kwa nchi na demokrasia yetu.

That was a suicidal political move for your info.

Wenye kuijua demokrasia ni kama hawa wanaompongeza (jana Chamwino):

View attachment 17307

Hiyo hiko kwenye ibara ya 41 (7) ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
 
Mabel

JF-Expert Member
Sep 1, 2010
1,218
2,000
Acha kupotosha.

JK anaheshimika kwa Watanzania na hata Kimataifa.

Kitendo cha wabunge wa Chadema ni aibu kwa nchi na demokrasia yetu.

That was a suicidal political move for your info.

Wenye kuijua demokrasia ni kama hawa wanaompongeza (jana Chamwino):

View attachment 17307

Yaani wewe ndio huelewi hata mwenendo wa nchi yako. Angekuwa anakubalika huko mbeya wangemzomea? kusomba watu kwenye malori kwenda kumsikiliza? kumpigia simu Mwamnyange mara kwa mara akiuliza sasa itakuwaje? baada ya kuona upepo umegeuka wakati wa kampeni?

JK anakubalika na Kinana Makamba (anataka uwaziri kwa mwanae) na watu kama wewe wasio weza kuwaza na kuwazua
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom