Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
hahahaha,nakumwambia wacha niitafute mpaka kwenye soksi.Nalog off
ukaikuta wapi?
hahahaha,nakumwambia wacha niitafute mpaka kwenye soksi.Nalog off
nami pia jamani nimewamisije! ila ndio hivyo tena usawa unakaba,tutakuwa pamoja muda si mrefu na zawadi za kumwaga.Nalog off
nitakuja nayo usihofu.Nalog offyani hata maembe?lol
nitakuja nayo usihofu.Nalog off
usihofu na nisipokuja nayo niuue.Nalog offnahofu,na ole wako uache kuleta lol
usihofu na nisipokuja nayo niuue.Nalog off
ukaikuta wapi?
nishaagiza sime kutoka umasaini wee subiri
Mpaka hapa sredi ishapoteza mwelekeo, ngoja na mimi nilog off.
POPOBAWA.
Mpaka hapa sredi ishapoteza mwelekeo, ngoja na mimi nilog off.
POPOBAWA.
kwenye mlango wa choo cha jirani.Nalog off
hujaacha tu?
itanibidi nibadilike ndani ya huu mwaka mpya au sio.Nalog off