Kitendawili??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kitendawili???

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Boflo, Oct 13, 2010.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2010
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mwaka 2010 ulipoanza, JK aliwaita mabalozi wote wa nje Ikulu na akawapiga
  mkwala mkali sana, kuwa serekali yake haitasita kuchukua hatua kwa
  nchi yoyote na hata kama ni mfadhili, endapo itataka kujishughulisha na maswala ya uchaguzi wa October 31.
  Nini lengo kuu la huu mkwala???
   
Loading...