babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,314
KITENDAWILI....!
Chautundu ni kijana mdogo, hana miguu lakn anasimama, hali chakula lakn anatapika, hana mikono lakn anachapa mtu mpaka analia, ni kijana mdogo kiumbo lakn hurefuka na kunenepa anapofurahi, ana jicho moja lakn huona kwenye giza, anaishi kwenye joto na majani makavu meusi. Jee? Chautundu ni nani? Naomba jibu...!