Kitendawili.......

aduwilly

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
1,176
305
Atakaepata kitendawili hiki, ani-inbox number yake ya simu nimrushie buku 10.
Sharti la kitendawili hiki unatakiwa utoe jibu la uongo, ukitoa jibu la ukweli basi utakuwa umekosa.

"Analia nyau nyau anapenda kukaa jikoni"
 
Back
Top Bottom