mwalimu mmoja wa shule ya msingi aliwaambia wanafunzi wake waulizane vitendawili. Wanafunzi wawili wakasimama kuulizana.,
mwanafunzi 1:"kitendawiliiiiiiiii....."
mwanafunzi 2:"teghaaaaaaaa...."
mwanafunzi 1:"nivue nguo nikupe utamu...
Mwalimu kuckia hicho kitendwili akabaki ametoa mijicho huku ameduwaa akisubiri jibu kutoka kwa mwanafunzi wa 2!.
Mwanafunzi 2:"ndiziiiiiiiiiiiiiii......"