KITENDAWILI

rashidymdoe

Member
May 16, 2017
79
45
Semeni.. TEGA..

Yeye ni katiba,
Yeye ni Bunge,
Yeye ni Serikali,
Yeye ni Halmashauri Kuu ya Chama,
Yeye ni Hazina,

UKIKUTANA NAE..
Msifie,
Usimwambie mabaya yake,
Mwite Mzalendo hata kama Fisadi,
Mwite Mcha Mungu,
Ongea upuuzi kwa TV, Ila msifie tu..

NIJIBUNI!
 
Mtu akipatia kwa majina ya kweli matatu namtumia laki(100000)
Usisahau kuweka na no ya Simu kwa ajili ya kukurushia hela yako

Wenye IQ kubwa waje wategue kitendawili hichi kigumu.
 
Mtu akipatia kwa majina ya kweli matatu namtumia laki(100000)
Usisahau kuweka na no ya Simu kwa ajili ya kukurushia hela yako

Wenye IQ kubwa waje wategue kitendawili hichi kigumu.
Hahaha we jamaa mse.nge sana
 
Back
Top Bottom