Kitendawili kilichonishinda!

Usilalamike tafuta pesa

Moja ya Fahari kubwa ya mwanaume ni kumtunza mwanamke wake
Fahari ni kutunza mke sio mwanamke, tusibadilishe falsalfa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mke yeyote ni mwanamke ila sikila mwanamke ni mke. Hujaolewa, pambana na maisha.
 
Fahari ni kutunza mke sio mwanamke, tusibadilishe falsalfa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mke yeyote ni mwanamke ila sikila mwanamke ni mke. Hujaolewa, pambana na maisha.

Mke wako si ndio mwanamke wako!?
Siku hizi kuna ambao wake zao ni wanaume wenzao na wanawatunza
Sisi tunasema mke anayetakiwa kutunzwa ni awe mwanamke
Hayo mambo ya kutunza wanawake wasiokua wenu ni matatizo ya kujitakia😆😆
 
Anayejidanganya ni mimi au wewe!???
Ungekua unaijua nafasi ya mwanaume mbele za mwenyezi Mungu ungeelewa kwamba unatakiwa kufanya nini. Ila naona umeingia kwenye lile kundi la wanaume wanaodai haki sawa kwamba wawe sawa na wanawake
Haha, na Mungu juu, aisee. Katika mambo yote chini ya jua, matendo yote tuyafanyayo hatumuhusishi Mungu ila twaja kumuhusisha kwenye mtelezo tena kwenye mahusiano yasiyo na ndoa[emoji38][emoji38]. Nafasi ya mwanaume[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Uliliacha neno lake pale ulipotakiwa kulifuata na ukafanya kila uasi, naleo ndio mkalimbuka. Unakumbuka nani alisema "we want free will, because we are not objects" kule Geneva. Mnajichanganya, chagueni neno la Mungu au akili zenu actually tamaa zenu.
 
Hadi upewe mbususu loh...kila mtu abaki na mali zake🤣
Dah jamani mrembo yaani mpaka nikupigie magoti kuja pm...njoo bana acha hizo vocha utapata tuu.
Unajua mie nakupenda wewe mwanamke basi tuu unajifanya kama hujui.
Njoo pm basi
 
Dah jamani mrembo yaani mpaka nikupigie magoti kuja pm...njoo bana acha hizo vocha utapata tuu.
Unajua mie nakupenda wewe mwanamke basi tuu unajifanya kama hujui.
Njoo pm basi
Umenibembeleza hadi nimelegea😅.
Nakuja
 
Ukimtunza inavyotakiwa hapeleki nyapu popote
Tatizo wanaume wengi siku hizi hata kujiamini hawana wanasababisha hadi wasiaminiwe
Nani kakwambia, uliyaishi maisha ya mwanaume ukayajua wayapitiayo[emoji23][emoji23][emoji23]. Aisee, wesikiaga tu neno kutunza, ila [emoji23][emoji23][emoji23] yote ni kheri lakini. Kama mimi nisivyoweza kuyaelewa maisha ya mwanamke basi usijaribu kuyakejeli au kuelewa maisha ya mwanaume. Don't judge others, before judging yourself
 
Usituwekelee maneno mdomoni
Wengine huku ni wapinzani wa hayo ya jeniva😆😆😆
 
Wanaume mmekuaje siku hizi!?
Waoga mno buana 🙄🙄🙄
 
Wewe ndio unawaogopa. Tulikuwa na wanawake wenye vipato ila hawaishi kutangaza shida. Usijejiroga ukadhani mwanamke mwenye kipato hanashida, bado hujakua basi. Ila mwisho wa yote, no one has authority over anybody.
 
Mke wako si ndio mwanamke wako!?
Siku hizi kuna ambao wake zao ni wanaume wenzao na wanawatunza
Sisi tunasema mke anayetakiwa kutunzwa ni awe mwanamke
Hayo mambo ya kutunza wanawake wasiokua wenu ni matatizo ya kujitakia[emoji38][emoji38]
Sasa sindo mpaka awe mke wangu, sijakuoa, huchangii ustawi wa maisha yangu na kukuondoa wewe maishani mwangu hakuna impact yeyote, kujichosha na wewe kwanini[emoji23][emoji23]. Matamanio hayawezi kuniendesha maana mwishoni mwasafari kuna 99.9999999% chance ya wewe kutokuwepo. Nasiwanawake bali ni mwanamke mmoja tu.
 
Nchi hii ili mwanaume uonekane wa maana eti fanya kazi kwa bidii ili uwahudumie wanawake masikini!

Fikiria unatoka na mwanamke ambaye hana uwezo wa kujinunulia bando!
Uzi tayari??!!
 
Usituwekelee maneno mdomoni
Wengine huku ni wapinzani wa hayo ya jeniva[emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23] tangu lini mwanamke akapinga asichokielewa. Mngepinga, mila na desturi zote mngezifuata ila mnachagua ipi yakufuata, uhujumu huo sasa[emoji1787][emoji1787]
 
Wanaume mmekuaje siku hizi!?
Waoga mno buana [emoji849][emoji849][emoji849]
[emoji23][emoji23] sio uoga bali akili. Mwanamke ambaye siwandoa ni kama kucheza kamali huku unamaisha yako yakujenga. So hainafaida kusumbuka nao, maana nikianguka wazazi wangu nitawaumiza sana maana walijua wamelea mwanaume na matunda wanayategemea. Mwanamke atapita tu, maana hata kaburini nitaenda pekeyangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…