Kitendawili jaman ? Tega, tega nikutege?

Kiswahili kina kanuni zake, ngeli za wanyama hatuweki wingi kwa kuongeza 'ma' kabla ya neno, na hiyo ni kwa wanyama wote. Popo, tembo, punda, fisi, kenge, mamba, paka , panya, mbwa, bata , kuku, njiwa, samaki, nyangumi, dagaa, nyuki, kumbikumbi, mbu.n.k
 
Kwa hiyo Kiswahili hakijakamilika Simba ni mmoja wakiwa wengi tuwaite pia Simba? Kiingereza simba mmoja anaitwa Lion wakiwa wengi wanaitwa kwa kiingereza lions kwa hiyo kiingereza kimekamilka kiswahili bado kipo pungufu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom