Kitendawili Darasani

Kitendawili Darasani

Edmond

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2010
Posts
359
Reaction score
54
Mwanafunzi: Kitendawiliii
Wanafunzi: Tegaaaaaaa
Mwanafunzi:Nivue nguo nikupe utamuu??
Mwalimu: Mshenzi wewe acha kutukana
Mwanafunzi: Mwalimu hujui?? jibu lake ndizi.

Duh ticha kabaki kaduwaa!!!
 
kauli tata hizo, mwalimu lazima achukue tahadhari.
 
Mwalimu mwenyewe ndo ana mawazo machafu!
 
hahaaaha... denti nae lazima atakuwa amepinda
 
Back
Top Bottom