Hii picha mbona source yake ni ya kuaminika, na wewe unasema aangalie kikulacho? hapa kumshika mwizi mbona ni rahisi mno, ni kuangalia tu hii pichwa imepigwa kutokea angle ipi, kwisha kazi. ama sivyo mimi nahisi huenda Jekei mwenyewe ndiye aliyependekeza kupigwa hii . ana udhaifu wa kuuza sura pia.
Kaka JK hapa unapaswa kuwa macho, picha hii imetisha hasa huyu aliyekupiga anaonekana yu nguoni mwako. Iko siku tutaletewa picha yako ya bafuni Mkuu. Nahisi hii imezidi, TISS- Presidential Guard mtakuwa mnahusika. Lasivyo jiteteeeni mapemaaaaaaaaa.
kuna kipindi laptop ya JMK aka dhaifu zikaletwa habari hapa kuwa imejaa movi, bongo fleva na picha za mastaa.
huenda kuna ukweli unachosema, nikiangalia quality ya hiyo picha iko low sana, ni kama imepigwa kupitia skype viletushaambiwa hapa fuselage yote imejaa mi-cam sasa angle itasaidia nini?
Kikwete watu wako wa jirani wamekuchoka. Unalindwa na kudra tu za mwenyezi Mungu
Mbona mi sijaelewa hii picha kinacho fanya ishangaze,mbona naona katulia tu kwenye ndege tena siti ya katikati,naomba msaada wa kuielewa kama wachangiaji wengine,