Kitendawili cha kwa nini Mkuu hakai nyumbani chateguliwa(picha)

hapo anaendelea kutafuta jibu la kwa nini tanzania ni maskini?

alishawahi kuulizwa swali kwa nn afrika ni maskini ..akachukua mic akakohoa kidogo kuweka koo sawa ili aweze kushusha mapoint fresh.
akasema ..ee afrika ni masikini kwa sababu ee hatuna pesa. so mkitukopesha tukapata capital tutakuwa matajii. nilichoka hapo hapo
 
hayaaaa bwana huyo ndio dr/luteni kanali/ j.k the traveller
 
kama zimepatikana kihalali hizo nyimbo na movie hakuna shaka (atakuwa anakuza uchumi wa nchi). Ila kama ni za ku-burn mtaani hapo anahitaji kuhukumiwa kwa piracy. By the way mkuu naye anahitaji kuliwazwa na muziki na movie baada ya kazi
mkewe,mama salma si mapaja ya uyowa pale bongo movi
 
kwa u comfortability kama huu atakaa magogoni afanye nini?
jk.jpg

Mh hicho kinyago kimekuja na ndege au wamakonde wakwetu hao?
 
raha jipe mwenyewe.... ukisubiri upewe, wabongo hawana dogo yani ni nuksi tu
 
Back
Top Bottom