Kitendawili cha kwa nini Mkuu hakai nyumbani chateguliwa(picha)

John W. Mlacha

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
3,504
1,341
kwa u comfortability kama huu atakaa magogoni afanye nini?
jk.jpg
 
Kaka JK hapa unapaswa kuwa macho, picha hii imetisha hasa huyu aliyekupiga anaonekana yu nguoni mwako. Iko siku tutaletewa picha yako ya bafuni Mkuu. Nahisi hii imezidi, TISS- Presidential Guard mtakuwa mnahusika. Lasivyo jiteteeeni mapemaaaaaaaaa.
 
Hii picha mbona source yake ni ya kuaminika, na wewe unasema aangalie kikulacho? hapa kumshika mwizi mbona ni rahisi mno, ni kuangalia tu hii pichwa imepigwa kutokea angle ipi, kwisha kazi. ama sivyo mimi nahisi huenda Jekei mwenyewe ndiye aliyependekeza kupigwa hii . ana udhaifu wa kuuza sura pia.
 
Kaka JK hapa unapaswa kuwa macho, picha hii imetisha hasa huyu aliyekupiga anaonekana yu nguoni mwako. Iko siku tutaletewa picha yako ya bafuni Mkuu. Nahisi hii imezidi, TISS- Presidential Guard mtakuwa mnahusika. Lasivyo jiteteeeni mapemaaaaaaaaa.

Hamumjui huyu anavyopenda picha,si ajabu aliomba apigwe,huoni hilo pozi,Huyu mtu ni wa mapicha sana,mara na boys to men,fifty cent,naomi campbell,bekham,maximo,mimi etc. yuko obsessed sana na mwanga wa camera,linapokuja suala la picha JK ni dhaifu sana!
 
kuna kipindi laptop ya JMK aka dhaifu zikaletwa habari hapa kuwa imejaa movi, bongo fleva na picha za mastaa.
 
I dont knw how his kids feeling to have a father lyk him. Huwa nawaza nasema ingekuwaga majina yote hovyo anayoitwa huyu mzee angekuwa ding yangu nahsi ningekuwa nshafungwa...nakumbuka cku m2 alimwitaga bro wangu jina baya mbona palichimbika ndo ije iwe mding? Kha! Mbayuwayu, dhaifu, vasco....endelea mwenyewe! Afu riziwan kanyamaza? Hahaha!
 
ukisikia pipa ndo kama hilo sasa... watu wamekuna vichwa kuweka hewani hiyo ngoma.
 
Mbona mi sijaelewa hii picha kinacho fanya ishangaze,mbona naona katulia tu kwenye ndege tena siti ya katikati,naomba msaada wa kuielewa kama wachangiaji wengine,
 
Back
Top Bottom