Mwaka 1994/1995 nilikuwa jijini London nikifanya kazi za kitchen porter hotel mbalimbali hapo jijini. Najaribu sana kuvuta kumbukumbu zangu nilikuwa nikilipwa paundi ngapi kwa saa/wiki nimesahau sijui ndo uzee.
Kuna sababu mahsusi kwenye mambo yangu naomba mwenye kumbukumbu kwa miaka hiyo anikumbushe pay ilikuwaje?
Fanya wema tu ila usinidhihaki siyo uungwana mi mzee.