Kitchen design, ni nzuri dah

Kitchen design, ni nzuri dah

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
14,085
Reaction score
8,409
1489582_731684413518123_1592871588_o.jpg427573_464029076950326_1652728046_n.jpg330849_464363320250235_460944574_o.jpg

nilipoingia hizi house I was apalled with only kichen design, Killarney Building Company big up sana
 
Ya mwanzo nzuri sana

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Mkuu hizo umegoogle au umeziona kwa uhalisia? Nyingine unakuta wanaongeza artwork kuvutia tu kwa picha. Ila ziko powa, nadhani ni affordable pia
 
Jerrymsigwa hata kama ni kugoogle ila zinaweza kutengenezeka na sidhani kama gharama zake ni za juu sana mradi uwe na nafasi kubwa kwenye jiko lako na usiliminye sana
 
Last edited by a moderator:
Jerrymsigwa hata kama ni kugoogle ila zinaweza kutengenezeka na sidhani kama gharama zake ni za juu sana mradi uwe na nafasi kubwa kwenye jiko lako na usiliminye sana
Mkuu mi nayapenda haya yetu sana tu

Mary-Msuhu-in-the-kitchen-Masoko-Village-300x199.jpg
 

Attachments

  • present_kitchen_mrawi_school.jpg
    present_kitchen_mrawi_school.jpg
    282.3 KB · Views: 152
[hat dQUOTE=TCleverly;8409408]they are not practical.[/QUOTE]
What do u mean?
 
What do u mean?

ni ngumu kutumia kwa matumizi ya kawaida ya jikoni kila siku.....sina maana kwamba huwezi kutumia jiko kama hili.[/QUOTE]

Mkuu hizo ndio niliona kwa macho live zinatumika kila siku na ziko hivyo hivyo
Design na materials labda ndio tofauti but ni design u can afford to decorate ur house mkuu
 
ni ngumu kutumia kwa matumizi ya kawaida ya jikoni kila siku.....sina maana kwamba huwezi kutumia jiko kama hili.

Mkuu hizo ndio niliona kwa macho live zinatumika kila siku na ziko hivyo hivyo
Design na materials labda ndio tofauti but ni design u can afford to decorate ur house mkuu[/QUOTE]

nzuri zinavutia sana.....lakini hio ni sawa na kuwa na white living room,white sofas...white everything na una watoto....not practical to me
 
Back
Top Bottom