Kitaulo cha young dee

Kitaulo cha young dee

ericford

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
265
Reaction score
68
je tuseme ndo pesa imemng'alisha au hali ya hewa ama naye baby care kwa sana
 

Attachments

  • 1413173963854.jpg
    1413173963854.jpg
    31.6 KB · Views: 1,008
Hihihi...kweli skuiz kila mtu anapiga deki kifesi...Duuh kang'aaa
 
inabidi namimi ninunue hizo simu.nilivyo black itasaidia nionekane mwarabu.

Nunua usichelewe...we unadhani zile vurugu za instagram zinasababishwa na nini? Kitu 360 na mifilter ya kufa mtu...mkikutana live unaweza ukakimbia.
 
Kabisaa , maana kuna siku nilimuona live pale shamo tower mbezi yan kapauka tofaut na uko insta

Camera zinadanganya sana, unaweza kudhani umemfananisha...

Shukrani za dhati ziwafikie kina Xionzghou Xhang kwa kuwang'arisha watu...
 
N8likutana na msanii mmoja maarufu mahali

Walahi nilimwangalia mpaka nikajishtukia

Tofauti kabisaaaaaaaa na picha zake za insta

Chezea applications mtu anang'arisha rangi na kujiongezea wowowo ----



Nunua usichelewe...we unadhani zile vurugu za instagram zinasababishwa na nini? Kitu 360 na mifilter ya kufa mtu...mkikutana live unaweza ukakimbia.
 
N8likutana na msanii mmoja maarufu mahali

Walahi nilimwangalia mpaka nikajishtukia

Tofauti kabisaaaaaaaa na picha zake za insta

Chezea applications mtu anang'arisha rangi na kujiongezea wowowo ----

hahaha anajiongezea wowowo mkikutana ana flat screen lol
 
Back
Top Bottom