Kitandani

Wapi mumewangu wa ukwee swadakta mikono yako laini ikinipapasa ndo yanilaza mie kama mtoto mashalaah nakukumbatia wewe

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Wapi mumewangu wa ukwee swadakta mikono yako laini ikinipapasa ndo yanilaza mie kama mtoto mashalaah nakukumbatia wewe

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Unamuaibisha mumeo! kwanini useme mikono yake laini? mwanaume kuwa na mikono laini ni utata kidogo!!
 
namba 2 na 3 havinihusu...
Habari
Wakati umelala kitandani hua unakumbatia nini?
1.pillow/mto
2.mwenzi wako
3.doll
4.kitabu cha imani
5.unajikumbatia mwenyewe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…