Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,020
- 22,096
Biashara matangazo , weka picha upate kukitangaza
Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
weka picha muraa wacha manenoMkuu nimekuita kwenye huu uzi? kwahiyo kama sijakuita sasa nipite kule niende wapi?? hii ni biashara yangu nafanya, kama sio interest yako kuna thread nyingi humu za kuchangia.
Mkuu jibu mada sio udaku. July na kitanda changu vinahusiana nn?July hii watu wanakimbia town.
Picha?Kitanda kipya kina wiki 2 tangu kinunuliwe kinauzwa. Ni 5x6, kipo Kigogo. PM namba yako tuwasiliane uje ukiangalie.
Mtukufu alisema mtakimbia mji mkuuMkuu jibu mada sio udaku. July na kitanda changu vinahusiana nn?
Nimeweka picha mkuu.Kwahiyo mtu atoke anapotoka kuja kigogo kuangalia kitanda?
Nimeweka picha mkuu.Cha chuma au cha mbao
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Nimeweka picha mkuu.Picha mkuu ndo muhimu sana
Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
Nimecheka....kula likeWeka picha unataka waje na hela uwaibie?
Nimeweka picha mkuu.kimwonekano muuzaji hayuko serious
Nimeweka picha mkuu.Weka picha unataka waje na hela uwaibie?
Nimeweka picha mkuu.Biashara matangazo , weka picha upate kukitangaza
Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
Punguza stress ndugu na ukitoka mwambie mwenye nyumba aboreshe hicho chumba asije zalisha kunguni huko!Mkuu jibu mada sio udaku. July na kitanda changu vinahusiana nn?
Nimeweka picha mkuu.weka picha muraa wacha maneno
Sent from my Redmi Note 3 using JamiiForums mobile app
okPunguza stress ndugu na ukitoka mwambie mwenye nyumba aboreshe hicho chumba asije zalisha kunguni huko!
Nimeweka picha mkuu.Picha?
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Hapanahio bei ni pamouja na hio baiskel hapo pemben?samah lakn
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app