Kitanda kimoja na wanawake wawili

Hii kawaida kwa dsm. lakn unatakiwa ujue kiundan kwanza, hapa kuna rafk yangu anaish na demu wake dsm, mwakajana kaja mdogo wa jamaa wa kike ikabdi wote waishi pa1, lakn umeona co wake ni mke na wifi. ungeeleza zaid
 

 
Mungu anistiri na balaa hili lakini mie siwezi,narudi tuu kula ugali na nguru kwetu chumbageniii..
Hayo yangenishinda..
 
Atakuwa mganga wa kienyeji tu huyo!hao ndio wanaweza kuwadanganya wanawake na wakafanya mambo ya kijinga bila kushirikisha ubongo hata kidogo
 
Upo? Feeling better about that issue?

haha haaa will post tomorrow kama ntamaliza meeting mapema! but u cant blv I prayed@ the start of the year niweze kuachana na those issues, happy now naona atleast I am OK! its shocking news madam nikikuambia n may b u wont believe!
 

inamaana sasa hivi jamaa kamwaga manyanga au mabinti wamemtosa?
 
haha haaa will post tomorrow kama ntamaliza meeting mapema! but u cant blv I prayed@ the start of the year niweze kuachana na those issues, happy now naona atleast I am OK! its shocking news madam nikikuambia n may b u wont believe!

Prayers work miracles buddy. I hope you feel better and move on with your life. If you are guilty, forgive yourself ok?
 
Hawakuwa madada poa, kaka nao kama mwaka na nusu mke mdogo na mkubwa.
Duuu, we jamaa unafaudu kinoma, kwa hiyo ukichapa kimoja huku, unageukia tena na huku nako unapiga!!!!, vipi huwa una experience the difference!!???
 
Kwa nini alioa mwingine wkt Hana uwezo? Udhalilishaji tu huo
 
i tried once it is very addictive....! na siku hizi ni kama fashion
 
Ukisitaajabu ya Musa? Nina rafiki yangu wa kiume mtu wa kigoma alipotoka kigoma kaja dsm kutafta kazi aliacha mke na watoto. Alipofika dsm kapata kazi ikabidi atafute kadem akawa nako mara mimba muda ukawa unaenda na harudi kigoma. Akapanga chumba kimoja na hako kadem. Ikatokea zali dadake akaolewa kutoka kigoma mpaka dsm ndo wifi(mke wa jamaa) akapata chance ya kuja dar kuhudhuria harusi ya wifi yake, basi rafiki yangu aliweka ngumu mkewe asije lakini wapi. Siku ya siku wife ndani ya nyumba jamaa kupanga sehemu mbili hawezi. Ndani ya chumba vikawekwa vitanda viwili bwana cha bimkubwa na cha bi mdogo pamoja na watoto tena wengine wakubwa! Maajabu jamani! Huyu jamaa aliishi nao vivyo hivyo lkn bi mdogo yalimshinda ikabidi asepe after km 2 yrs!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…