INAUZWA Kitanda, godoro, Sofa, Pasi, Feni, king'amuzi DStv

kayanda01

JF-Expert Member
Feb 14, 2014
1,142
971
Salaamu wanaJF, na kheri ya mwaka mpya.

Nauza vitu vyangu vya ndani, kwa bei nafuu kabisa:

........................................................................
........................................................................

UPDATE ...

Tayari vitu vimeshanunuliwa, isipokuwa Dstv pekee ndo bado ipo.

Ahsanteni sana kwa ushirikiano wenu. Barikiwa wote.

Dstv set bado ipo:

Dstv set.jpg

Kwa anayehitaji, njoo PM.
 
Weka bei ya kimoja kimoja, kitanda pekee ni sh. ngapi?

Nikiweka bei in isolation, ni zaidi ya hiyo total. Nimefanya hivyo ili mwenye uwezo wa kuchukua vyote kwa pamoja afaidi hilo bonge la discount. S/he who buys in bulk, enjoys the bigger favour.

Okay, ngoja niweke Price tag for a single item.

Ahsante kwa ushauri.
 
Salaamu wanaJF, na kheri ya mwaka mpya.

Nauza vitu vyangu vya ndani, kwa bei nafuu kabisa:

1. Kitanda (5x6) na Godoro
2. Sofa moja (ya siti mbili)
3. King'amuzi Dstv + dish + waya
4. Pasi
5. Feni.

PICHA halisi...

View attachment 453744

View attachment 453751 HITILAFU: Sofa imechanika kidoogo (kama sentimita mbili hivi) kwa mbele, hapo nilipozungushia kwa rangi.

View attachment 453764

  • Vitu vyote bado vipo katika hali nzuri.
  • BEI ni Tsh 470,000 (laki nne na elfu sabini) kwa vitu vyote kwa pamoja.
Nipo Dar, maeneo ya Mbagala - Zakiem.

Kwa yeyote anayehitaji, karibu sana PM kwa mazungumzo na mawasiliano zaidi.

Natanguliza shukrani.
Amani kwenu. Barikiwa sana wote.
TUPIA NAMBA YA SIMU
 
kuna story moja nimeisoma humu yamtu mmoja maarufu mpigaji wa deal akitumia mbinu nyingi sana,sasa kwa mbali naona 470,000 itamtokea mara 10 atakaye vinunu hivo vitu, nimewaza tu. siku hizi kuna sayansi ya biashara
 
Back
Top Bottom