chopeko
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 1,527
- 1,113
Habari MMU!
Nina swali moja tu! Tuchukulie umeoa/kuolewa. Je, ni sahihi kutumia kitanda unachotumia na mke/mume wako pamoja na wageni endapo mwenza wako hayupo?
Kwa mfano tuseme wife/husband hayupo na umepata mgeni wa jinsia yako. Ni sahihi kulala naye kitanda kimoja unachotumia na mke/mume wako?
NB: Mgeni anaweza kuwa ndugu yako wa damu au swahiba wako wa karibu.
Tujadili!