Kitanda cha mpangaji mwenzangu

Eeee😱Daud 1 kam fasta mwenzio Sina usingizi sasa😉
Ukisikia bahati ya embe kudondoka chini ya mnazi ndo hii nimefika mama twende Prime Minister hapa wakuda wengi
 
nimeziona mi nipo njia kuu

Hivi unajua njia ya mchepuko inafaida ngapi? (1) haina lami inakurusha rusha kukubembeleza mpaka unalala, (2) unafika upesi unakoenda, (3) huna stress za foleni na kuchomekeana na (4) ni salama zaidi huwezi kumgonga wa mbele yako.
 
Daudi1 asante sana aise sasa tunarudi kwenye wakili wa moyo
 
Last edited by a moderator:
Daudi1 aise nakukomalia maana bucho na mizambwa wameingia mtini au sijui wana alergy na jf ndo maana hawaonekani aise
 
Last edited by a moderator:
Halima kashinda

Mama Tina amekula vyote bila kupewa adhabu yeyote

Baba tina mume -----

OS Anjelus anaishi kwa mashaka tu
 
nilianza na sehemu ya kwanza na kila nilipokuwa nafika mwisho wa sehemu mojs nilivutiwa kutaka kujua sehemu insyofusts ikoje. tengeneza movie au wauzie wazo hawa jamaa wa bongo movie na ipe jina hilo katika ushauri wako michepuko siyo dili; kitanda cha mpangaji
 
Very good. Alieona hadithi nyingine atupie jina au link hapa tuifuate. Achilia za mzizimkavu.
 
Strory hii nilishaisoma gazeti la Ijumaa. Mtunzi kama sikosei ni Irene Mwamfupe Ndauka. Yule dada anatunga story (love stories) nzuri sana kwa kweli.
Na pia nipiwahi kukutana naye aisee ni mcheshi sana kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…