Kafiti JF-Expert Member Joined Mar 27, 2011 Posts 538 Reaction score 220 Feb 1, 2016 #1 Kitanda cha 6*6 cha mninga kinauzwa , kipo kwenye hali nzuri. Kimetumika mwaka na nusu. Kipo na Chaga zake(Pia chaga zake ni mninga). Muuzaji anahitaji hela ya haraka. -0684 14 14 76 Kipo Dar-es-Salaam , picha utatumiwa(Nimeshindwa kuweka hapa).
Kitanda cha 6*6 cha mninga kinauzwa , kipo kwenye hali nzuri. Kimetumika mwaka na nusu. Kipo na Chaga zake(Pia chaga zake ni mninga). Muuzaji anahitaji hela ya haraka. -0684 14 14 76 Kipo Dar-es-Salaam , picha utatumiwa(Nimeshindwa kuweka hapa).
Naby Keita JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 12,891 Reaction score 20,133 Feb 1, 2016 #2 Aroo kinatufaa wa shoo za kibabe
Azathioprine JF-Expert Member Joined Sep 16, 2013 Posts 588 Reaction score 379 Feb 1, 2016 #3 Ule utafiti ya kwamba "Kunguni hawasikii dawa" hapa pia unajidhihirisha?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 370,407 Reaction score 857,632 Feb 1, 2016 #4 kinga666 said: Ule utafiti ya kwamba "Kunguni hawasikii dawa" hapa pia unajidhihirisha? Click to expand... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utaharibu biashara ya mtu
kinga666 said: Ule utafiti ya kwamba "Kunguni hawasikii dawa" hapa pia unajidhihirisha? Click to expand... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utaharibu biashara ya mtu
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 370,407 Reaction score 857,632 Feb 1, 2016 #5 kejof2 said: Aroo kinatufaa wa shoo za kibabe Click to expand... Mamiss bantu