Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,508
- 13,976
Katika hali ya kawaida hakuna tatizo labda uwe na lengo mahususi la kutoboa.Hayatoboki mkuu au kupata pancha

Upo tabata gan mkuu? Mi nahitaji vitanda kwa ajili ya migodini