Jitu la kienyeji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,444
- 7,984
- Thread starter
- #21
1. Hapo ni stoo iyo sio mada kitanda full ndo kinauzwa iyo ni ghorofa ambayo haijaisha1. Hapo ni stoo?
2. Ufahari na ukimataifa wake unaonekana wapi?
3. Picha zote 48 umepiga godoro, kitanda tutakiona kwa hicho kipande cha mbao tu?
2. ufahari wake ni kwamba hicho kitanda ni very unique
3. kitanda kipo hapo hapo ila inaonekana hujakielewa na wala hujawai kuona kitanda kama hicho wenzako wote wameona kitanda isipokuwa wewe tu