Kitanda cha kifahari cha 'spring' na godoro lake kinauzwa

Kitanda cha kifahari cha 'spring' na godoro lake kinauzwa

Jitu la kienyeji

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,432
Reaction score
7,965
Kitanda used cha kifahari full na godoro lake kinauzwa. Kitanda kina spring

Godoro lina spring full kunesa nesa. Kitanda hiki ni cha kimataifa ( hakijatengenezwa Tanzania)

Ni imara sana hakiharibiki
Bei Tsh 450,000/=

serious buyer only
0789 795 139

IMG_20190130_170009.jpg


IMG_20190130_170152.jpg


IMG_20190130_170334.jpg
 
Hujaweka details kwamba ni kitanda cha ukubwa wa 2*3 au 1*2, hujasema uko arusha , mwanza au dsm pia picha bado hazijaonekana vizuri

kitanda used cha kifahari full na godoro lake kinauzwa
kitanda kina spring
godoro lina spring full kunesa nesa
kitanda hiki ni cha kimataifa ( hakijatengenezwa Tanzania)
ni imara sana hakiharibiki
bei sh 450,000/=
serious buyer only
0789 795 139
 
MIGUU KAMA KIKO KUNANG'INIA KAMA VIPI GODORO HILO ITAKUA POA KAMA BEI SIO YA KIFAHARI
miguu haijaonekana kwenye picha kutokana na udogo wa sehemu kilipohifadhiwa lakini in actual fact sio miguu ambayo ni fixed ni stand ya chuma ambayo inachomoka na unaweza kuikunja mara moja godoro peke yake nipe 225,000/=
 
Back
Top Bottom