Kitanda box, mbao ngumu...

black chinese

JF-Expert Member
Aug 1, 2016
1,148
1,228
Kitanda safi cha box 5×6 kilichotengenezwa kwa mbao ngumu pamoja na godoro lake kinauzwa kwa bei ya njaa.. 250k.
20170122_141712.jpg

Kiko mkuranga...
Sababu ya kuuza ni bei ya kukisafirisha mkoani inazidi bei ya kitanda.
nitwangie kwa namba 0715 193810 au ni pm kwa yeyote aliyechoka kulala chini..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom