Kitanda 6 x 6, Why m'banane??

Mwambie amchunguze inawezekana huyo mwanamke anaogopa usiku, kama sivyo mwambie aache ushamba kumbato muhimu, haya ndo madhara ya kutokwenda jando/unyago,vijana dumisheni mila uzungu usiwatawale.
 
Wadau, nina rafiki yangu mmoja tunafanya nae kazi, leo kaja na story za ajabu kuhusu ulalaji wake kitandani, yeye na mkewe. Kaja kachelewa kazini, kisa kalala saa 10 ya usiku, baada ya kuuliza sababu ndipo akashuka na mzigo wa lawama dhidi ya mkewe.

Anavyodai ni kua yeye anapenda kulala mwanzoni kabisa mwa kitanda, yaani anameza kama futi 2za mwanzo, sasa anacholalamika eti mkewe badala ya kuacha gap katikati la kama futi 2 hivi kisha akamalizia zile 2 za mwisho, ye hua anambana kabisa mpaka saa zingine anataka kudondoka. Mpaka saa zingine hua anamuuliza mkewe kama ile nafasi ya ukutani anamuwekea mtu mwingine aje kulala.

Anafika mbali zaidi pale anapodai kua anashindwa hata kupumua usiku maana akivuta au kutoa pumzi basi kunakua na obstacle ya mtu karibu hivyo anapata tabu.

Anazidi kukolezea kua hata wakati wa joto ambapo miili ikigusana inatoa jasho, bado mkewe anapenda kumbana kabisa badala ya kila mtu kulala kwa kujiachia.

Anasema saa zingine akimaliza "shughuli", anapenda apate upepo na hewa ya kutosha ili kupumzisha mwili lakini mkewe bado atamganda.

Nimeshindwa kumshauri maana sijaoa, ndio nikaileta hapa mnisaidie nimfikishie.

hivi wanaume hawana kitchen party?
 
Atakua ampumbulize vizuri huyo!! mwambie ampige ubo kila akimsogelea hata kama ni kila siku, utaona mwenyewe anajidai anaangalia tamthilia sebleni kumbe anakuviza ulale!!
 
Mafundisho ya ndoa yanahitajika sana maana hayo wala sio ya kuja kusema mbele za watu wala kumhadithia mwenzio
Wengine wanalitafuta hilo kumbatio hawalioni yeye analalamika Blaki Womani, Kaunga, gfsonwin, snowhite hebu mpeni mafunzo ya nini maana ya ndoa huyu jamaa maana anaikosea ndoa maana yake
nimeshamwambia akamwambie rafikie akue zaidi kindoa!akiwa kweli ni mwanaume anayejitambua uanamume wake u wapi atajirekebisha!
 
Atengeneze kitanda kingine special kwa kazi special then baadaye wakimaliza kazi special wakae kwa muda special ili wapate faragha then jasho likiisha warudi kitanda chao cha 6 kwa 6. ke ni sawa na moto wa karatasi while men ni kama moto wa magunzi.
 
Hii ishu inakuhusu,,kwanini usifunguke tu kwamba na wewe?

Kwanza unatumia jina feki, sa unaogopa nini?
Sio mimi kaka!!
Mi nawakilisha tu.

Wajua jamaa alifunguka sana mpaka nikamuonea huruma. Eti akirudi kazini amechoka basi anataka alale kwa kujiachia, sio kubanana banana.

Alidai yeye hupenda social-forums (but sina hakika kama ni member humu JF), na ndio anatafutiaga usingizi humo. Sasa sometimes anataka awe free ku-browse but wife wake anang'ang'ania wageukiane na wakumbatiane.

Kiasi nilimuelewa, hasa hilo la kuchart mitandaoni, maana baadhi ya simu zapendeza zaidi ukitumia kwa mikono miwili huku umeangalia juu.
 
Wadau, nina rafiki yangu
mmoja tunafanya nae kazi, leo kaja na story za ajabu kuhusu ulalaji wake
kitandani, yeye na mkewe. Kaja kachelewa kazini, kisa kalala saa 10 ya
usiku, baada ya kuuliza sababu ndipo akashuka na mzigo wa lawama dhidi
ya mkewe.

Anavyodai ni kua yeye anapenda kulala mwanzoni kabisa mwa kitanda, yaani
anameza kama futi 2za mwanzo, sasa anacholalamika eti mkewe badala ya
kuacha gap katikati la kama futi 2 hivi kisha akamalizia zile 2 za
mwisho, ye hua anambana kabisa mpaka saa zingine anataka kudondoka.
Mpaka saa zingine hua anamuuliza mkewe kama ile nafasi ya ukutani
anamuwekea mtu mwingine aje kulala.

Anafika mbali zaidi pale anapodai kua anashindwa hata kupumua usiku
maana akivuta au kutoa pumzi basi kunakua na obstacle ya mtu karibu
hivyo anapata tabu.

Anazidi kukolezea kua hata wakati wa joto ambapo miili ikigusana inatoa
jasho, bado mkewe anapenda kumbana kabisa badala ya kila mtu kulala kwa
kujiachia.

Anasema saa zingine akimaliza "shughuli", anapenda apate upepo na hewa
ya kutosha ili kupumzisha mwili lakini mkewe bado atamganda.

Nimeshindwa kumshauri maana sijaoa, ndio nikaileta hapa mnisaidie
nimfikishie.

ukisikia mapenzi ya BLUETOOTH ndo hayo unayoyataka wewe jamaa.kha kha kha
 
Huyu jamaa anabahati sana,yani daily wife anakung'ang'ania then unacomplain!
 
Si wawe na vitanda tofauti chumbani kwao?ya nini kubanana?mi siungi mkono hoja ya kuvumilia eti ndio mapenzi,kila m2 anatakiwa kupata proper sleep,
 
we mwanaume hakiosi wewe ni tasa nini? au hujuwi raha ya kukumbatiwa acha ushamba umekuwa:msela:
 
We Kongosho wewe!!!!
Mi naona mwanamke huwa hajatosheka, hebu ampe bundesliga ya uhakika aone kama atamganda, thubutu! chezea bundesliga wewe

Huwa anataka amwamngushie uvunguni mmewe
 
me luv u Ashadii... oh no.., luv your comments sanaaaaa. nadhani amekusikia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom