Kitambue chombo VOYAGER 1


van allen belt ni ukanda wa magnetic field ambao upo juu umeizunguka dunia kwa maelezo yao, inaitwa belt kwa sifa hio ya ukanda uliozunguka dunia,

na kuhusu tafautiana time ya sehemu moja na nyengine hii ni subject yake peke yake ili uweze kuifahamu, cha kwanza kuelewa ni time ni nini hasa,whats is time exactly? time inasababishwa na nini,

kwa mitazamo yetu ya haraka tunapima time kwa kutumia jua linapochomoza na kutua na vile vile kisasa tunatumia saa
lakini jua linazama vipi na linachomoza vipi wakati dunia sio duara,wakati ikiwa hatulioni unapokuja usiku jua linakwenda wapi,hii kwanza tufahamu kuzama na kuchomoza kwa jua katika kila eneo,manake kila eneo lina time zake za kuzama na kuchomoza kwa jua.
kujua jua linachomoza vipi pasipokuwa na duara la dunia ni lazima ufahamu law of perspective, uwezo wetu wa kuona yaani vipi macho yetu yanaona
itazame hii picha ya chini hapo ichukulie wewe umesimama hapo mwanzo wa picha kisha unaangalia mwisho wa hii koridoo
kama utachunguza utaona sakafu inapanda na dari inashuka na kuta za pembeni zinajikunja kuja katu kadri ya koridoo inavozidi,mwisho wa koridoo hii kunakuwa kudogo sana yaani kumejikunja na hapa mwanzo pako kama kawaida,ki uhalisia hii koridoo iko sawa kuanzia mwanzo hapa mpaka mwsho kule yote ipo sawa lakini macho yetu ndio yanaona namna hii mwisho wa upeo wako kunakua kudogo mpaka kunatoweka kabisa

ichukulie hizo taa za juu hapo kama ndio jua linasafiri angani kwa namna unavyoliona wewe na macho yako,jua litakwenda mpaka mwisho wa upeo wako kwa hapa litazame linavyoshuka kuifata koridoo jua litaonekana kama linazama lakini kiuhalisia halizami ila linatoweka kwenye upeo wa macho yako tu kama huo mfano wa taa na hii koridoo,hivi ndio tunavyoona jua linazama au kuchomoza na tukazani linakwenda chini ya duara la dunia lakini uhalisi ni kuwa linazunguka juu ya uso wa dunia na sio kwenda chini

mzunguko huu wa jua juu ya uso wa dunia ndio unaosababisha time za kila maeneo kuwa tafauti baina ya maeneo kwa vile linapotoweka kwenye eneo letu tunapata magharibi na usiku kuingia na jua linaanza kuonekana kwenye maeneo mengine na hapo ndio wanapata alfajiri yao na mchana kenedelea kwa muangaza wa jua
 

Kwa hili nimekuelewa, hakika ni uwezo wa mwisho wa macho wa kuona, ukichukua telescope nadhan hataona sawa na anaetazama.

mmoja ataona curved, wa pil atabaki kuona flat surface
 

Duhh, ngoja nisali tu naona navurugwa vurugwa,

sasa mkuu ile CURIOSITY walioirusha Mars ni uongo??
 
Wewe inabidi nikuulize umemaliza juzuu ngapi ...... (hivi ni vipimo vya elimu YETU ya madrasa) maana nikikuuliza kiwango cha elimu ya dunia nitakuwa nakuonea sana, MAANA HAIWEZEKANI MWENYE ELIMU YA KIWANGO CHA JUU (elimu dunia) AKAPINGA KITU BILA YA YEYE KULETA "HUO UKWELI WAKE".
 
ZENJIBARIA
time ni nini..?
kwa jinsi hiyo fact ya jua ulivyoieleza hapo bado haiingii akilini! ndio swala la kuona hivyo sawa lkn mbona nyota zipo mbali kushinda jua na tunaziona..?

kuifahamu hii zaidi inabidi ujue kuwa nyota na mwezi na jua haviko mbali kama tulivyofundishwa, vipo kama tunavyoviona karibu tu,hakuna hata kitu kimoja kati ya hivyo ambacho kipo milioni za km kama wanatufundisha

na kuhusu time ntaweka uzi maalum hapa kujaribu kuifafanua zaidi ya kutazama saa na kupima jua
 

nimemaliza elimu ya dini na elimu ya dunia nnayo ya juu kidogo, jaribu kuzipitia post nlozojibu kwenye huu uzi unaweza kufahamu baadhi ya mambo nnavyoyaona mimi
na sio kama napinga ila natoa mitazamo na maswali kutokana na hisia zetu tu
 
Duhh, ngoja nisali tu naona navurugwa vurugwa,

sasa mkuu ile CURIOSITY walioirusha Mars ni uongo??
kila kitu kinachohusu space sio kweli pamoja na hio space yenyewe yote,picha zote za sayari zote,rover,satelites kila kitu ni photoshop,kwa mitazamo ya haraka haraka sio rahisi kufahamu lakini chungunza kila kitu unnaweza kuona kuwa hakuna proof ya mambo yote hayo,proof kubwa iliyopo ni kwenye mifumo yetu ya elimu tumefundishwa hivo na matangazo ya kwenye vyombo vya habari wanatangazia bas na sisi tunasikia na kuamini kila kitu
 
ha ha! et kila kitu kinachohusu space sio kweli!๐Ÿ˜ฑ
hata hayo unayonambia basi sio kweli na ningumu kukuamini maana huna vithibitisho,kila kitu kinachohusu space sio kweli ulishawahi toka nje ya dunia ukathibitisha hilo..?
kwahiyo hata nyota tunaona maruerue tu mwezi nao maruerue tu,naona tumepagawa na kupata ugonjwa wa macho dunia nzima!
 

Wewe jamaa unachanganya mambo. Hiyo ya kwenda mwezini inaaminika ni swala la kisiasa. Kwani hata warusi walihoji kitendo cha NASA kwenda mwezini na kupeleka mtu katika hell belt of radiation ikiwa wao warusi walikuwa wa kwanza lakini hawakudare kupeleka mtu ila chombo pekee.

Sasa inapokuja issue ya anga za juu na shape ya dunia, inao ekana umepotoka. Tena siyo kidogo.
 
 
 

imenichukua mimi zaidi ya miaka mitano kufatilia haya ,na wewe muda utafika utaanza kuona uhalsi ulivyo, jaribu kupitia majibu yote nilotoa katika uzi huu unaweza kupata pa kuanzia na ukawa na uwezo wa kuwa na amswali yako mwenyewe ya kujiuliza.
 
Jamaa kakomaa na theory zake za kimbaazi mbaazi.zenjibaria aibu tupu.

mkuu ungejaribu kusoma najibu yote niloandika kwenye uzi huu inaonekana umeona jamabo tu lakini mambo ni mengi sana,sisi tumezoea wazungu wakisema kitu sisi tunaskiliza tu akili tumezifunga na hatuwezi tena kuamini tunachokihisi wala tunachokiona kuwa ndio uhalisi
 
Hivi bacteria kwenye chungwa,si nayeye atasema chungwa liko flat kutokana na udogo wake.
hivo ndio tunavyofundishwa kuyaona mambo yote,tunafanya kama wadogo na hatuna maana,lakini kama bacteria akiwa na uwezo wa kuruka na kwenda juu ya chungwa inabidi awe na uwezo wa kuliona chungwa kama lilivyo ila sisi hatujawahi kuliona chungwa hili,jaribu kupitia mada zote nlizoandika kwenye huu uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ