Kitambi? Kuvimbiwa? Au ya kuazima?

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,724
729,891
1452917598236.jpg
 
Kuna msaikolojia mmoja wa maumbile aliwahi kuniambia eti watu wa aina hii vichwani huwa ni "SIFURI" lakini kwa kujitutumua na kulazimisha recognition wako juu.

Nini uzoefu wako?
Inawezekana kabisa maana wengi wana tabia za hivyo
 
Kuna msaikolojia mmoja wa maumbile aliwahi kuniambia eti watu wa aina hii vichwani huwa ni "SIFURI" lakini kwa kujitutumua na kulazimisha recognition wako juu.

Nini uzoefu wako?
Kuna ukweli kuhusu hili na nina mifano hai ila sitatendea haki wahusika
 
Kuna ukweli kuhusu hili na nina mifano hai ila sitatendea haki wahusika

Disaini hii usiwashirikishe jambo lolote linalohitaji uchanganyaji wa akili. Mtaishia kubeba mpira kwapani kwa sababu hawana uwezo huo na zaidi watalazimisha kwa nguvu muache hizo zoezi kwa kuwa kutumia vichwa kwao ni kama adhabu.
 
Kuna msaikolojia mmoja aliwahi kuniambia eti mwonekano wa mtu, uwezo wake wa akili na tabia huwa zinafuatana. Akasema watu wa aina hii vichwani huwa ni "SIFURI" lakini kwa kujionyesha, kujitutumua na kulazimisha recognition wako juu.

Nini uzoefu wako?

Le Mutuz na nduguze wa bongo movie.
 
Back
Top Bottom