Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,809
- 34,193
Msikurupuke kwa kila jambo vingine fanyieni kwanza utafiti...
Maana kwa style hii mnatupeleka pabaya aisee...!!!
Hakuna siasa kwene maisha ya watuMnadhani madaktari hawajui balanced or recomended diet??
Nchi haiwezi kuendeshwa na katuni bali utaalamu
Hivi wagonjwa wakiandikiwa na daktari ugali mchicha wewe utaleta kitimoto???afadhali waziri makini sana mh. Ummy aliliona hilo mapema akaamua kustopisha kwanza huduma ile
Fuata upepoHivi wagonjwa wakiandikiwa na daktari ugali mchicha wewe utaleta kitimoto???
Tuache siasa kwenye utaalamu
CC kidabibiagaView attachment 360447
Msikurupuke kwa kila jambo vingine fanyieni kwanza utafiti...
Maana kwa style hii mnatupeleka pabaya aisee...!!!
Hivi wagonjwa wakiandikiwa na daktari ugali mchicha wewe utaleta kitimoto???
Tuache siasa kwenye utaalamu