Kitakachoikumba Dunia mwaka 2036

Dunia ipo mamilioni na mamilioni ya miaka haijawahi kulindwa na mwanadamu leo eti igongane na jiwe!!!....aliyeiumba dunia hakuwa mjinga kuweka hayo mawe na dunia yetu alijua kbs jinsi gani yatapishana angani

Sent using Jamii Forums mobile app

Sio kwamba dunia itaharibika moja kwa moja, hapana bali viumbe vilivyoki ndani yake ndiyo vitapotezwa ili kuleta kizazi kingine kipya
 
kama sitafika wapo watakao ona hii comment mwaka huwo daah najivunia kukoment hapa

maana mwalimu ya miaka hiyo may be Anaweza kutumia kucoment zetu kuwaambia wanafunzi wake

daah kama naona vile comment yangu itapendwa sana na wanafunzi wa miaka ya 2036
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom