Inaonekana jf imejaa ukawa .
JamiiForums ni Home of The Great Thinkers, vilaza wapo CCM.
Inaonekana jf imejaa ukawa .
Labda viji vya huko kwenu, lakini wananchi wengi wanaelewa sana, na wapo kimya kwa kuwasikiliza majukwaani, hizi kelele ni za Jf, wanadhani wapo wengi sana.
Labda viji vya huko kwenu, lakini wananchi wengi wanaelewa sana, na wapo kimya kwa kuwasikiliza majukwaani, hizi kelele ni za Jf, wanadhani wapo wengi sana.
kazi ipo mwaka huuMwaka huu bao la mkono hakuna,team lowassa wanamaintelgensia watakaodhibiti mabao hayo,mwaka huu yataishia bafuni tuuuu.