Ndugu wa jf,siku zote ushindi wa ccm unachangiwa na wapiga Kura toka vijijini,lakini kwasasa upepo umebadilika. Watu wengi vijijini watamchangua lowasa wakijua bado yupo ccm, yaani hawajui kuwa lowasa ameshahama. nimejaribu kuprint picha Za lowasa na magufuri, yaani kila unayemuuliza utamchagua nani wanakuonesha picha ya lowasa. Cha ajabu pia wengi wao hata magufuri hawamjui... Pia nywele nyeupe,ie mvi watu wengi uku vijijini wenye uelewa mdogo wanasema lowasa ni mtoto wa NYERERE, sababu ya kumpigia Kura. 1nb huu no utafiti usio rasmi nimrufanya kwa zaidi ya wiki 2,vijiji13,watu 456.