KITABU "Think and grow Rich"

soma na "Nineteen eighty four" utapata kujua falsafa ya udikteta. Kinafaa hapa Bongo.
 
Ndgu sitaki kuamini kwamba ndo uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo
Keep on rereading brother. And while rereading, remember the wise words of this writer "
Practical prayer is harder on the soles of your shoes than on the knees of your trousers"
 
Keep on rereading brother. And while rereading, remember the wise words of this writer "
Practical prayer is harder on the soles of your shoes than on the knees of your trousers"
Mkuu Ahsante Sana kwa kunikumbusha hizi mistari za huyu nguli
 
Mkuu uliweza vipi ndugu yangu changamoto ya lugha

Sent using Jamii Forums mobile app
NAKALA YA KITABU HIKI THINK & GROW RICH (FIKIRI & UTAJIRIKE) KINAPATIKANA PIA KWA LUGHA YA KISHWAHILI MWANZO MPAKA MWISHO WA KITABU, KWA URAHISI ZAIDI MTU UNAWEZA UKAKIDOWNLOAD KUPITIA SIMU YAKO YA SMARTPHONE KUTOKA KATIKA MTANDAO MMOJA TANZANIA UNAOUZA VITABU VYA KIELEKTRONIKI(GETVALUE)
 
hivi unawezaje kusoma vitabu 20 vya kiingereza na kuvielewa maana Mimi nasoma tu introduction basi maana vinanichosha wala sielewi yaani. Nipeni Mbinu wakuu mm ni team msukuma
 
hivi unawezaje kusoma vitabu 20 vya kiingereza na kuvielewa maana Mimi nasoma tu introduction basi maana vinanichosha wala sielewi yaani. Nipeni Mbinu wakuu mm ni team msukuma
Usisome sana kwa mfano kama mimi kwa siku nasoma pages 50 asubuh najitahidi nasoma 25 na jioni 25 ila kuna kipindi inafika nakaa mwezi mpaka week sijasoma hata page moja maisha ya bongo na kusoma vitabu ngumu sana ila pambana hvyo hvyo mkuu.
 
Sawa Mkuu
 
Wakuu kama kuna mwenye soft copy ya think and grow rich naiomba tafadhali
 
hivi unawezaje kusoma vitabu 20 vya kiingereza na kuvielewa maana Mimi nasoma tu introduction basi maana vinanichosha wala sielewi yaani. Nipeni Mbinu wakuu mm ni team msukuma
Mbinu pekee bora ya kusoma kitabu mfano wa hiki cha THINK & GROW RICH nakala ya kiingereza ukakielewa barabara, kwa kuwa wakati mwingine lugha iliyotumika ni kiingereza cha miaka ya '47' ni ile mbinu ya kurudiarudia kukisoma. Unaweza hata ukakirudia mara 2 mpaka 3 huku 'ukinote' maneno magumu na kuyatafutia maana zake kwenye kamusi. Unaweza pia kukisikiliza kama audio baada ya kukisoma. Binafsi sisi wakati wa kukitafsiri kitabu hiki kwenda katika lugha ya kiswahili tulizitumia sana mchanganyiko wa mbinu kama hizi. Kikisha kukaa kichwani utaona ni kitabu cha kawaida tu kama vilivyo vitabu vingine rahisi kusoma.
 
Back
Top Bottom