KITABU "Think and grow Rich"

KITABU "Think and grow Rich"

Attachments

  • Fikiri-na -utajirike-cover.jpg
    Fikiri-na -utajirike-cover.jpg
    81.9 KB · Views: 24
S
Mbinu pekee bora ya kusoma kitabu mfano wa hiki cha THINK & GROW RICH nakala ya kiingereza ukakielewa barabara, kwa kuwa wakati mwingine lugha iliyotumika ni kiingereza cha miaka ya '47' ni ile mbinu ya kurudiarudia kukisoma. Unaweza hata ukakirudia mara 2 mpaka 3 huku 'ukinote' maneno magumu na kuyatafutia maana zake kwenye kamusi. Unaweza pia kukisikiliza kama audio baada ya kukisoma. Binafsi sisi wakati wa kukitafsiri kitabu hiki kwenda katika lugha ya kiswahili tulizitumia sana mchanganyiko wa mbinu kama hizi. Kikisha kukaa kichwani utaona ni kitabu cha kawaida tu kama vilivyo vitabu vingine rahisi kusoma.
Safi sana
 
THINK & GROW RICH - SWAHILI EDITION (FIKIRI & UTAJIRIKE) SASA KINAPATIKANA KATIKA NAKALA NGUMU / HARDCOPY NCHINI KOTE

UKIWA DAR ES SALAAM UNALETEWA MPAKA MAHALI ULIPO NDIPO UNATOA PESA

NA MIKOA MINGINE TUNATUMA KWA NJIA YA MABASI AU BOTI

MAWASILIANO NI: 0761002125 AU 0712202244
 
Back
Top Bottom