Kitabu kuhusu taaluma ya ushushushu

Kitabu kuhusu taaluma ya ushushushu

Mzalendo_Mwandamizi

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2007
Posts
1,116
Reaction score
4,774
Kitabu kuhusu taaluma ya Uafisa Usalama wa Taifa (USHUSHUSHU) kinapatikana katika maduka mbalimbali ya vitabu nchini Tanzania.
1bea442542006caffb15d15f16f967f8.jpg


66896c432bd8ce22373aaf4b4f9d9c72.jpg


86f48ca7b445c04ed28a1f69bbac539e.jpg
 
Nimeshangaa hata Moro hakuna?????
a3612714b02db3092e07d00b78d5d18a.jpg

Free delivery kwa wakazi wa Dar, na orodha ya bookshops za mikoani zenye kitabu hiki
14358646_10154492136846810_7411395277043506290_n.jpg

Kitabu kuhusu taaluma ya Uafisa Usalama wa Taifa (USHUSHUSHU) kinapatikana katika maduka mbalimbali ya vitabu nchini Tanzania. Kwa wakazi wa Dar, licha maduka ya vitabu yaliyotajwa hapa chini, sasa unaweza kuletewa kitabu hicho popote ulipo katika jiji hilo, iwe ni kazini, sehemu ya biashara, nyumbani, kwenye mizunguko, chuoni/shuleni...au hata kwenye pub au kijiweni.


DAR ES SALAAM:

  • TPH BOOKSHOP, 24 Samora Street jirani na Sapna (Simu 0687-238-126/ 0759-390-082);

  • GENERAL BOOKSELLERS, Mtaa wa Mkwepu (Simu MAMA MEENA 0784-887-871)

  • DAR ES SALAAM BOOSHOP, Mtaa wa Makunganya (Simu MR MPONDA 0657-827-172)

  • MLIMANI BOOKSHOP, Kariakoo (Simu 0754-269-042)

  • ZAI BOOKSHOP, Kariakoo (Simu0754-292-532)

  • ELITE BOOKSTORE, Mbezi Beach Tangi Bovu karibu na Goba Road (Simu 0754-767-336)
MOSHI: APE BOOK, Rindi Lane, Opoosite I&M Bank (Simu 0754767336)

ARUSHA: KASE BOOKSTORE, ELCT Building, Joel Maeda Street

TANGA: HAFAT BOOKSHOP, Barabara ya Saba (Simu HASSAN SHEDAFA 0767-216-403)

MWANZA:

  • GUNDA BOOKSHOP Karibu na NHC Regional Office Bantu Street/Kemondo (Simu 0753-969-421)

  • VICTORIA BOOKSHOP, along Bantu Street, Kemondo (Simu 0755-375-034)
MUSOMA: NYAMBUSI BOOKSHOP, Opposite NMB Bank Main Branch (0767-578-565)

IRINGA: LUTENGANO INVESTMENT (Bakwata House), Miomboni St mkabala na Akiba House (Simu 0763-751-978)

KIGOMA: NDAMEZYE ENTERPRISES, Mkabala na NBC Bank (0713534116)
 
Nakihitaji sana. Soft copy huuzi??
 
Back
Top Bottom